BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Jieleze na wewe ni mtu wa aina gani!Na mimi niliwaza kama hivyo. Huyu binti anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia.
Amefanikiwa kupata jina kubwa mno kuliko mafanikio aliyokuwa nayo na hili ndilo hasa linalomuumiza.
Ukichunguza anakuwa na uadui na kila mtu anaehisi ana mafanikio kuliko yeye hasa wanawake wenzake. Anahisi kila wanachopata wenzie ilipaswa akipate yeye.
Gigy Money ni aina ya watu anaetarajia ukiwa karibu nae umpe tu, hata ikiwa anakutukana uendelee kumpa kila anachohitaji. Kinyume na hapo unakuwa ni adui yake.
Gigy Money analaumu kila mtu kwa kukosa kwake isipokuwa yeye mwenyewe. Anajiona yeye ni victim kila sehemu.
Huyu nammithilisha na Ruby. Fikra zao zote ni moja.
Huyu binti anahitaji counselling ya hali ya juu mno.
Nyie ni mabingwa wa KUCHANGANUA WATU lakini ya kwenu mmeyaficha kwenye KAPU.
Fungua tuyaone na yako! Lamomy