Gigy Money asaidiwe

Kajirecord aamuuzie mangi video ili apate hela

mji mzito huu hapo kwa haraka haraka Ana mil 50

hata wewe ukiwa star mrushie mangi aiweke kwenye app .. Mgawane pesa.

watu wanaishi kwa akili
 
Si juzi tu alikuwa kanisani analia au hakuwa yeye.
 
Wasichana wadogo wanamfuatilia Gigy? Wazazi wao wapo wapi?

Mtoto wako unasubiri afundishwe maisha na gigy au wasanii? Wewe kazi yako ni nini? Mnataka serikali iwafanyie kila kitu. Usipomfunza mwanao maadili atafunzwa na ulimwengu.
watu hawajui maana serikali, wakielewa serikali ni mimi na wewe ndipo kutakucha
 
Wasipowahi kuchukua HATUA stahiki Taifa litachanganyikiwa... Tutakuwa na mama wa ajabu sana wajawo.. Mungu amlinde BBY Myra, na serikali ikiwezekana imchukue

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Malezi mabovu
 
Inakuuma nini yeye kutumia mwili wake anavyopenda? Wewe hujawahi kuzini? Nchi hii zinaa sio kosa la jinai.

Watu wamejaa unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…