Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ajabu mmekutana Faragha badala ya kufanya kilichowapeleka mnakuwa busy tena na simu, mwishowe ndiyo kutegeana Camera kama hivyo na kujikuta mnajiaibisha kwa kuonesha Tupu zenu.Gigy na AmberLulu wakamshtaki yule mjinga kwa kuwarekodi na kuvujisha videos zao, kuliko kujifanya wapo sawa,
Lakini na hao wasichana wazingatie kuna VVU, Magonjwa mengine ya zinaa na Homa ya Ini
Kama unajielewa ni vyema kulinda Faragha zetu kwa gharama yeyote.