Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Gigy na AmberLulu wakamshtaki yule mjinga kwa kuwarekodi na kuvujisha videos zao, kuliko kujifanya wapo sawa,
Lakini na hao wasichana wazingatie kuna VVU, Magonjwa mengine ya zinaa na Homa ya Ini
Ajabu mmekutana Faragha badala ya kufanya kilichowapeleka mnakuwa busy tena na simu, mwishowe ndiyo kutegeana Camera kama hivyo na kujikuta mnajiaibisha kwa kuonesha Tupu zenu.

Kama unajielewa ni vyema kulinda Faragha zetu kwa gharama yeyote.
 
Nimeingia kwenye daladala nikasema " ila Gigy Money" watu wote wameniangalia wananiuliza UNAYO HAPO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungewambia ipo kila mtu anichangie jero!
 
Ajabu mmekutana Faragha badala ya kufanya kilichowapeleka mnakuwa busy tena na simu, mwishowe ndiyo kutegeana Camera kama hivyo na kujikuta mnajiaibisha kwa kuonesha Tupu zenu.

Kama unajielewa ni vyema kulinda Faragha zetu kwa gharama yeyote.
Inasemekana walikubali wenyewe kurekodiwa ili videos zikauzwe Marekani na walikua wote wawili vijana wanaita 3some
 
[emoji1787]
Huyo jamaa nahisi katumwa na Mange kufanya hivyo. Maana mange na gigy huwa wana bifu. Nahisi jamaa aliseti camera kabisa na kurekodi halafu amtumie mange. Na nahisi mange anazo connection za wadangaji wengi sana wa mitandaoni.


Siku Mange akiamua kuanzisha website ya connection za warembo maarufu wa Instagram wakiliwa TAKO, itakuwa balaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa Mburundi anaishi US itakua kweli katumwa na mange, na atakua amepiga mpunga mrefu sana kushinda aliompa gigy
 
Back
Top Bottom