Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi cha vijana wadogo.

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Badilisha simu... Tecno C16 inaweza ikakuzimikia ukapoteza baadhi ya vitu muhimu pia achana na maisha ya watu wengine ambao huwawezi.

Ni kweli kilichotokea ni uvunjifu wa maadili ila wewe ni msafi mpaka kuja jamvini kumchoma kwa Mheshimiwa Waziri?! Kwani serikali hawajaona na hawajui kazi yao?!

Jaribu kukua kiakili... watu wa aina yako alafu unaweza kukuta kiuhalisia nyuma ya keyboard na ID fake ni Mchovu tu mlamba chuma cha reli.
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi cha vijana wadogo.

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Gigi ni mtu mzima ana uhuru wa kufanya lolote. Serikali ina mambo mengi ya kufanya sana sana labda idara ya ustawi jamii imempe ushauri nasaha kuhusu ngono salama na kutumia mpira wakati wa zinaa. Magonjwa ni mengi
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi cha vijana wadogo.

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu. Basi tumtag Mhe. Waziri ili achukue hatua.
Putin.jpg
 
Nimeona vid aisee.

She is real awesome fu*ker. Anayo kitu inaitwa art of sexing
 
Huwezi amini sijapata....Wii tuma nifanye tathmini[emoji1787][emoji1787]
Kuna watu mjini inabidi muhame etii...?!!![emoji3][emoji3][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!Mimi Ile siku ya kwanza Yaani mange anaposti na miye mzigo huo hapo kama Niko kwenye application aseehh....Yaani ka koneksheni Sijapata baasi ujue sijaitaka au kudanlodi Kwa Hilo group maana ziko nyingi za watu wengi zikivuja sema nakua busy sometimes nakuja kushtuka imepita [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi cha vijana wadogo.

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Soon iyo Gigy ataibukia kwenye uteja
 
Kuna watu mjini inabidi muhame etii...?!!![emoji3][emoji3][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!Mimi Ile siku ya kwanza Yaani mange anaposti na miye mzigo huo hapo kama Niko kwenye application aseehh....Yaani ka koneksheni Sijapata baasi ujue sijaitaka au kudanlodi Kwa Hilo group maana ziko nyingi za watu wengi zikivuja sema nakua busy sometimes nakuja kushtuka imepita [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huo ni ushahidi kuwa umezungukwa na watu wa hovyo. Jitathmini
 
Back
Top Bottom