Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

Mnaonaje tukimtafuta aliemuuzia iyo nguo nae ale bun au vipi...
 
You approach is impaired..
Duniani hatuwezi kuwa na namna moja ya kuishi.. and one should always be informed of how others live...ili wakikutana kusiwe na ile inaitwa culture shock..

Mimi Kidini sili kitimoto, lakini nilifunzwa tangu mtoto Kuwa wako wakristo wanaokula kitimoto... Hainioffend ninapokutana na wanaokula kitimoto, na huwa ninasema vizuri kabisa, very politely and respectful "I don't eat that"

Kama nisingefunzwa hilo ningeamini duniani people don't eat pork.. imagine my surprise nikionana na mazingira where people eat..

Wewe wa huko nje/jirani tukana as much as you want... Lakini weye under my roof...jaribu uone ntakavyo kupiga mswaki na steel wire. Ukikua ukaondoka nenda katukane tani yako...

Na sisi ukiona vyupi ndio fani yako ..inapaa unashuka kwa Trump ..unavaa vyupi ikibidi shuka uchi kabisa.. uone TCRA watafanya nn..

Huwezi sema hiki ni chema kama kibaya hakipo..

Je unaweza ruhusu mtu kuja kulia kitimoto ndani ya nyumba yako kwakuwa yeye anakila? Najua huwez bas hiki ndicho nakimaanisha inatakiwa TCRA na BASATA kupiga marufuku nyimbo na videos zote za nje na ndani zenye mahudhui ya ngono au zisizona maadir kuchezwa kwenye local media, sio waangalie upande mmoja tu
 
Screenshot_20210106-101423~2.jpg
 
Mnaonaje tukimtafuta aliemuuzia iyo nguo nae ale bun au vipi...
Nafikiri tufanye msako wa nyumba kwa nyumba usiku, tutakayemkuta amevaa kama hiyo naye atulipe faini ya 1mil
 
Kuna Miiko na maadili ya Kitanzania !!!!...

Hivi miiko ya kichaga ni sawa na ya kizaramo au ya kinyakyusa ni sawa na ya kiyao ???..

au ndio ufuska unaofanyika kila station mwenge unapolala au ni hizi twerking na kumwaga radhi kwenye singeli, vigoma na vibao kata.

Halafu unasemaje "Imaginations"..
Yaani unataka watu wawe responsible na weak minds za watu ??..

sikubaliani kiasi pengine na walichokifanya wasafi ila hii issue imekuzwa kupitilza

Mkuu unatia aibu sana, yani miiko ya kitanzania juu ya mavazi hivi kuna kabila linavaa kama alivyovyaa gigy money? Ficha aibu yako usijibu vitu vinavyokuonyesha hujatumia akili
 
Nimeangalia vazi la Gigy kwa mbele na kwa nyuma. Hapina staha ya kufumbiwa macho. Anastahili adhabu Kali Sana kuliko aliyopewa
Tulia mzeee...!! Mbona vazi poa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu unatia aibu sana, yani miiko ya kitanzania juu ya mavazi hivi kuna kabila linavaa kama alivyovyaa gigy money? Ficha aibu yako usijibu vitu vinavyokuonyesha hujatumia akili

Sawa kaka mimi "Akili sina" na ninakuunga mkono kwa asilimia 100%.
Ila sababu ni kuwa ukisema nina akili wakati sina au sina wakati ninazo haitobadili uhalisia wangu hata kwa 0.00000000001%.
 
Sawa kaka mimi "Akili sina" na ninakuunga mkono kwa asilimia 100%.
Ila sababu ni kuwa ukisema nina akili wakati sina au sina wakati ninazo haitobadili uhalisia wangu hata kwa 0.00000000001%.
Sorry usichukulie seriously hilo neno sio kwamba nimuku underrate ndugu, samehe saba mara sabini
 
Yaani acha tu Mkuu nilishawahi hoji ,inakuwaje Radio za TZ muziki wao wa bongo fleva wanacheza Dirty Version(Ambazo tunaelewa matusi yote) lakini Miziki ya Nje ambayo hatuielewi hata wakiimba matusi wanacheza clean version.

-Utasikia nipe hogo ,unavyokata unagusa goroli ,mara miguu iguse mabega ,mara nakupa mikito heavy na ndio zinachezwa daily!! Ni muda muhafaka sasa wa TCRA wawaambie Radio wacheze clean version kama kuna matusi matusi au lugha zisizo na stara waedit(wafute ,wascratch,mute etc),BASATA inakuwaje wanaruhusu nyimbo zenye maudhui ya matusi kuchezwa? Kuna video ya harmonize wanaonyesha demu anatingisha chura na pia wanaonyesha jamaa anapaka mkongo yupo kitandani na demu,scenes kama zile inatakiwa wazifute.

Video za Mtoni wana dirty version na clean version ,kwenye clean vesrion hauwezi kuta wanaonyesha makalio ya demu hata kama kavaa suruali.
Kwenye kampeni Diamond mwenyewe aliimba lichupi mbele ya meza kuu akiwamo Rais,

It was very embarrassing.

Maadili hakuna tena.
 
Back
Top Bottom