DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Huyo nabii TUMEPIGWAAcha mashaka mkuu [emoji23]
Pia Hao waumini TUMEPIGWA[emoji28]
Kiujumla Tasnia ya ibada tumepigwa[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo nabii TUMEPIGWAAcha mashaka mkuu [emoji23]
Maana ya yeye kuitwa kisamaki ni nini?
Hakuna kitu hapo.Kwa hiyo huamini kwamba wameokoka?
Mungu mwenyewe ataamua mkuu, hakuna aliye mkamilifu.Huyo nabii TUMEPIGWA
Pia Hao waumini TUMEPIGWA[emoji28]
Kiujumla Tasnia ya ibada tumepigwa[emoji1787]
Mwonekano unasadifu tabia ya mtu[emoji4]Kwani kuna kunyoa kilokole?
Sioni kama kuna shida kwa huo mtindo
Kazingatia engo Mkuu 😂😂😂Nabii kanyoa kiduku Cha kitapeli kabisa [emoji28]View attachment 2724546
Yaani halafu kanyoa kama mimi.. eti mchungaji... Yaani kutoka bongo rahisi sana.😂Kweli uzuri wa mtu uko machoni pa muangaliaji
Nabii ana sura kama anapuliza moto aseee
P wa Wolper ana shida gani?
Sio kila kitu kumuachia Mungu,Mungu mwenyewe ataamua mkuu, hakuna aliye mkamilifu.
Kwa hiyo tuendelee na nyeto tuu?wolper ze tilapia
Hahahahahaha,khaaKweli uzuri wa mtu uko machoni pa muangaliaji
Nabii ana sura kama anapuliza moto aseee
P wa Wolper ana shida gani?
Mchungaji ananyoa hvi..🙌😂😂Nabii kanyoa kiduku Cha kitapeli kabisa [emoji28]View attachment 2724546
Mlawi haruhusiwi kunyoa denge, biblia imemkataza kunyoa hivyo, so jibu ni ndio kuna mitindo ya nywele kwa watumishi wa madhabahu ya Mungu.Kwani kuna kunyoa kilokole?
Sioni kama kuna shida kwa huo mtindo
Nabii ana mwonekano wa QNET kabisa[emoji28]Kazingatia engo Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
piga, ila mchawi mask ya chumaKwa hiyo tuendelee na nyeto tuu?
Ikiwa ni drama je na wewe ni mwana drama? Unasali hapo kwa drama?Nilikua hapo church iyo jumapili. Yaani drama kabisa ile.
😂😂😂😂 nimecheka kifala sana MkuuNabii ana mwonekano wa QNET kabisa[emoji28]
Hata Ontario alikua ananyoa hivyo,Mchungaji ananyoa hvi..[emoji119][emoji23][emoji23]