Gigy Money na Jackline Wolper wahamia kwa Nabii Malisa

Nimejiskia kuwaombea wao na kizazi chote cha leo....

Baba ktk jina la Yesu Kristo, naomba baraka na neema kwa kizazi hiki cha leo, kilicho jaa Kiburi, majivuno na Tamaa. Fungua Roho na Mioyo yao migumu, iweze kuskia sauti ya wito wako ktk maisha yao na familia zao.
Huisha Roho ya kukata tamaa, kukosa utulivu na subra na kwa huruma yako wasamehe makosa na dhambi zao walizotenda kwa mawazo na matendo. Bariki dhamira, mipango na haja za Mioyo yao kadiri mapenzi yako.Amen.
 
Kweli uzuri wa mtu uko machoni pa muangaliaji
Nabii ana sura kama anapuliza moto aseee

P wa Wolper ana shida gani?
Niko na malaika hapa, nimeona wanarekodi hii dhambi yako ya kumdiss mtumishi. Naambiwa watu kama wewe mtachomwa moto kwenye chamber namba 67. Jirani kabisa na Osama na Adolf Hitler!


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Endelea na maombi mtumishi, waombee pia wake waliowahi kupiga nyeto huku wakiwaza wapo na hao wadada.

Mungu awaponye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…