Unanunua utelezi tuMhhhhh! Laki tano kila siku! Ukipanda dau mzigo unachukua. Laki tano! Laki tano!
Wajemeni hapa nanunua nini?
Uoni kundu hilo..Mhhhhh! Laki tano kila siku! Ukipanda dau mzigo unachukua. Laki tano! Laki tano!
Wajemeni hapa nanunua nini?
Usikute anakesha na kufunga kila siku kwa ajili ya mwanae. Wamama si rahisi kukata tamaa kwa wanawe.Mama yake Gigy atakuwa ameshalia na sasa amenyanyua mikono juu.
Huyu toka mwanzo namuona nilijua kabisa nati zimechomoka kabisa!
Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.
tano tu unashangaa kwlei we mgeni dar
aiseeWewe kwa hiyo " K " yako Vumbi huwa unahongwa Tsh ngapi?
aisee
Na bora ingekuwa na password uimiliki mwenyewe ila ndio wana loweka kamba zao hata mateja.Huyo anayempa kila siku Tsh Laki tano TRA wameshakata percent yao hapo au? Halafu Watanzania tunapenda sana kupeana " mvua " ( kudanganyana ). Hivi kuna Mtanzania tajiri mwenye jeuri ya kuhonga kila siku Tsh 500,000/ kwa Demu / Mwanamke? Hiyo " K " unayoigharamikia hivyo ina bluetooth au internal memory card? Haya maisha ya video ndiyo yanatuponza na kutupoteza sana Watanzania kila kukicha kudadadeki zetu.
Laki [emoji109] deile mfyuuuuUoni kundu hilo..
Ya k ama nenepicha yake tafadhali...