nakuvutia kasi utaomba poo tuMimi ukianza basi huwa namaliza Mkuu au hujanijua vizuri? Principle yangu Kuu ni ile ile na haitobadilika hadi labda nifike Mbinguni ambapo " Wewe ukijamba Mimi naharisha kabisa ".
WEMA SEPETU ni mtambo aisee! anaweza kutembea peku (bila viatu) nje ya geti lake na ikawa habari ya dunia! je akipiga picha za utupu kama gigy unafikiri itakuaje!hahahaha naona anataka kumfunika wema sepetu kwa umaarufu
nakuvutia kasi utaomba poo tu
Unanunua dhambi.Mhhhhh! Laki tano kila siku! Ukipanda dau mzigo unachukua. Laki tano! Laki tano!
Wajemeni hapa nanunua nini?
π³Unanunua dhambi.
Hahahahahahaha, laki5 kila siku kwa arithmetic za harakaΒ² it means kwa mwezi anaingiza Tshs. 15M sio? Kwa kazi gani hiyoMsanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.
Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Couldn't agree more, she surely needs a psychiatricHili nalo lije likapimwe akili
Anawachezesha watu ngoma na wao wanacheza..Lengo lake linatimia..Halafu huyu Hemed nilikuwaga simuelewi..Bora Giggy amejibu baadhi ya maswali
kwa hela ipi aliyokuwa nayo!jide kamuacha pale ubungo mataa anashangaa,chezea mwanaume kulishwa na mwanamke afu ulete nyodo,yani unaachwa ndi ndi ndi.Hivi Gadna nae anatoa huo mshiko kila siku?
Kaka wakati mwingine kwa maisha ya kimjini ufundi wa kitandani ni mtaji. Yawezekana jamaa anategemea saaana maufundi ili aishi mjinikwa hela ipi aliyokuwa nayo!jide kamuacha pale ubungo mataa anashangaa,chezea mwanaume kulishwa na mwanamke afu ulete nyodo,yani unaachwa ndi ndi ndi.
ahahahah,aiseeee hilo nalo neno,mjini msingi kiuno au sio.Kaka wakati mwingine kwa maisha ya kimjini ufundi wa kitandani ni mtaji. Yawezekana jamaa anategemea saaana maufundi ili aishi mjini
h
ahahahah,aiseeee hilo nalo neno,mjini msingi kiuno au sio.
Mama wala hana shida, kuna siku Gigy alikuwa anahojiwa kwenye kipindi cha THE BASE ITV akulizwa vipi wazazi wako wanakuchukuliaje akasema nina mzazi mmoja tu, baba angu alisha fariki ila mama hana noma maana hata yeye alikuwa kama mimi, mambo ya umiss na mitoko ya dansi, ila ananiambiaga tu mwanagu wewe umezidi. Hapo mazazi kabariki ila anashauri apunguze atalia nini?Mama yake Gigy atakuwa ameshalia na sasa amenyanyua mikono juu.
Kama familia imejengwa katika misingi ya namna hiyo usitegemee geni kutoka kwa huyo binti labda watokee washauri wa kisaikolojia ndio wanaweza kumkomboa kutoka katika hizo fikra.Mama wala hana shida, kuna siku Gigy alikuwa anahojiwa kwenye kipindi cha THE BASE ITV akulizwa vipi wazazi wako wanakuchukuliaje akasema nina mzazi mmoja tu, baba angu alisha fariki ila mama hana noma maana hata yeye alikuwa kama mimi, mambo ya umiss na mitoko ya dansi, ila ananiambiaga tu mwanagu wewe umezidi. Hapo mazazi kabariki ila anashauri apunguze atalia nini?
Malezi mabovu ndio yaliyo mfikisha hapo, wazazi wengine wanahimiza watoto sjule, wengine wana himiza watoto wao kujiangalia maumbile yao, binti anakua akijua TAKO ndio msingi wa maendeleo, watavuna wapandacho.Kama familia imejengwa katika misingi ya namna hiyo usitegemee geni kutoka kwa huyo binti labda watokee washauri wa kisaikolojia ndio wanaweza kumkomboa kutoka katika hizo fikra.
Binti hajui baya wala zuri, lipi nifanye hadharani na lipi chumbani. Kwake kila kitu ni sawa. Hajui muda unataradadi, ikifika ukomo wa hayo maujinga kuwatafuta watu wa kuishi nae itakuwa ni ndoto.