ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #101
TZ utapeli umezidi hadi kwenye Data
Kawape dawa na Milo 3Wagonjwa hawana dawa, wananchi wanakula mlo mmoja!😳
kweli kabisa huyu Rais Samia kwenye FDI kafanya balaa kwa muda mfupi.Ecomically tuna uelekeo mzuri.Watanzania wachache tunapenda masuala haya, wengi tupo na mada za kina TL na Mbowe pamoja na utekaji unaendelea. Kina Mdude Nyagali wapo midomoni mwa wengi wetu kuliko masuala chanya ya kiuchumi. Tupo kisharishari zaidi.