Wewe ndiyo mtupu kabisa.
Nami nimekuwekea ufafanuzi wa ulinganifu.
Hivi kama gari linakwrnda kwa spidi ya 40km/hr, na jingine linakwenda 5km/hr. Kila moja likaongeza speed yake mara 3, yatakuwa yamekaribiana?
Maana yake hilo la mwanzo litaenda 15km/hr, la pili litakuwa kwenye 120km/hr. Kama yote yalianxia kutembea tokea sehemu moja. Baada ya saa moja, kabla ya kuongeza mwendo, la kwanza lilikiwa 5km kutoka starting point, la pili 40km from starting point. Baada ya kuongeza mwendo mara 3 yake, la kwanza lipo 20km, la pili lipo umbali wa 160km. Mara ya kwanza separation distance ilikuwa 35km, ya pili seperation distance ni 145km. Hivi hawa kuna namna yoyote ya kukaribiana? Na una uhalali wa kuwalinganisha? Yaani kobe akiongeza mwendo mara 3 anamkaribia chita akiongeza mwendo mara 3!! Shida kweli!