TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Ni process mkuuSawa lakini kwanini GDP inatembea mwendo wa kobe?
Trust the process
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni process mkuuSawa lakini kwanini GDP inatembea mwendo wa kobe?
Duuh sijui mnapima uchumi kwa kigezo kipi? Uchumi sio kutangaza kujenga ni pamoja na kuvutia wawekezaji, kutafuta masoko kwa bidhaa zinazozalishwa tanzania, kutengeneza ajira kwa watanzania na kadhalika.Ila bongo bana!! Hv Kuna kipnd uchumi ulikuwa vzuri kuliko kipnd Cha mwenda zake?? Au ndio vile mkono uende kinywani
GDP huwez ipima kwa miezi Bali effects zake ni miaka .Sawa lakini kwanini GDP inatembea mwendo wa kobe?
Hao ni loosers hawajui wanachoongea ila Kwa vigezo vyote vya Kiuchumi,Tanzania imya Samia inafanya vizuri kuliko kawaida.Duuh sijui mnapima uchumi kwa kigezo kipi? Uchumi sio kutangaza kujenga ni pamoja na kuvutia wawekezaji, kutafuta masoko kwa bidhaa zinazozalishwa tanzania, kutengeneza ajira kwa watanzania na kadhalika.
Sasa ukija kipind cha mwendazake karibia kila zao la tanzania lilikufa, choroko,korosho,mbaazi, tumbaku na hata Mahindra songea yalifika mpaka 23,000 kwa gunia mwaka 2020.
Benk nyingi zilifungwa na zilizostahimili zilikwenda kwa hasara.
Pamoja na yote mwendazake hakuajiri kwa miaka yake yote hivyo kukawa na uhaba wa ajira huku makampuni yakizid kupunguza watu.
Tatzo wabongo tunajua uchumi ni Ile mtu kuropoka tu
Kama umefuatilia kwenye hizo 7bil nusu ya wawekezaji wanatoka tanzania pia kuvutia wawekezaji wa nje sio kosa si wanakuja na mitaji Yao bado watatengeneza ajira, watanunua umeme wetu watalipa kodi za vat na income tax ambayo ni 30 ya faida Yao. Dhana ya kukwepa kodi sio ya wawekezaji Bali walaaumu wazawa ndo wanapindisha ili wapate ugaliWachaaa......weeee.......wawekezaji kutoka nje (FDI) hawajawahi kuendeleza taifa lolote zaidi ya kuchuma, kutunyonya, kukwepa kodi na kuondoka zao uwezeshwaji wa wafabiashara wa ndani ndo siraha yetu na injini ya uchumi wetu
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gerald Teri amesema sera Bora na nzuri za Uchumi na Biashara zilizoasisiwa na Rais Samia zimefanikisha kuvutia uwekezaji wa mtaji (FDI) wenye thamani ya $7.7 bln Kwa mwaka 2024.
Bwana Teri amesema Hilo ni ongezeko la zaidi ya mara 3 kutoka Shilingi Trilioni 5( $2b) mwaka 2022 Hadi Trilioni 20 ($7.7b) mwaka 2024.
Pia soma Bajeti ya Serikali mwaka 2025/26 Itakuwa Trilioni 55.03. Sawa na ongezeko la Trilioni 20 Ndani ya miaka 4*1/2 ya Rais Samia.
Bwana Teri amefananisha ukuaji huu wa Uchumi na kipindi Cha Uongozi wa Rais Deng ambae anajulikana kama baba wa Uchumi wa China Mpya kwani mnamo mwaka 1992 ,China chini ya Deng Xiaoping ikipata ongezeko kubwa la uwekezaji na ujuaji wa Uchumi wa zaidi ya mara 3.👇👇
View attachment 3173770
View: https://x.com/GileadTeri/status/1866403360321978739?t=g3VX64W0GI9jcAz_8YL3jw&s=19
My Take: Hakika Samia ndio Deng Xiaoping wa Tanzania na amekuwa rafiki mkubwa wa biashara na uwekezaji.
Tunampa maua yake angalia hai na anaona.👇👇
Mkuu ukisema kwamba mtu anayeona samia anafanya vyema ni chawa basi na yule anayesifia ya mwendazake na asitake negativity ya magu ni chawa.Uchawa max pro, deng xiaoping ni level za kina nyerere huko, maybe zaidi ya nyerere.
Hao ni moja ya fore father wa modern china
Punguzeni sida zisizo na msingi
Yes anafanya kazi nzuri but sifa zisiwe too much
Mkuu tuko kwenye uchum hakujawahi kuwa na uchaguzi tanzania Bali mapitisho kwa awamu zoteSasa tumsamahe Mama huyu hata chaguzi za serikali za mitaa zimemshinda atawezaje uchumi
TUSIONGELEE VITU AMBAVYO MAMA HAWEZI. WATU WANACHEKA HAPA MKIONGELEA UCHUMI WAKATI MAMA HAJITAMBUI. HAYA MAENDELEO MADOGO NI YA WATU WENYEWE HATA TUNGEWEKA CHURA KIZIWI YANGEKUWEPOMkuu tuko kwenye uchum hakujawahi kuwa na uchaguzi tanzania Bali mapitisho kwa awamu zote
DG anadhinda mitandaoni kuandika ushuzi huu??Mtu ni DG wa TIC anatafuta uteuzi upi tena wakati anazunguka Dunia Kila siku?
Tafuta wajinga wenzako mjadiliane mambo ya uchaguzi,hapa ni mada ya UchumiSasa tumsamahe Mama huyu hata chaguzi za serikali za mitaa zimemshinda atawezaje uchumi
Labda mkuu ungetuambia kama ni watu binafsi wenyewe leo kuwepo soko kubwa la mazao kama korosho, mbaazi ,ufuta na kadhalika ila kipindi cha mwendazake wananuzi wote walikimbia tukawa tunauza mbaazi kwa 200/kg.TUSIONGELEE VITU AMBAVYO MAMA HAWEZI. WATU WANACHEKA HAPA MKIONGELEA UCHUMI WAKATI MAMA HAJITAMBUI. HAYA MAENDELEO MADOGO NI YA WATU WENYEWE HATA TUNGEWEKA CHURA KIZIWI YANGEKUWEPO
Ushuzi gani huo?DG anadhinda mitandaoni kuandika ushuzi huu??
Tutajie vitu samia alivyoshindwaTUSIONGELEE VITU AMBAVYO MAMA HAWEZI. WATU WANACHEKA HAPA MKIONGELEA UCHUMI WAKATI MAMA HAJITAMBUI. HAYA MAENDELEO MADOGO NI YA WATU WENYEWE HATA TUNGEWEKA CHURA KIZIWI YANGEKUWEPO
Unajua wengi wanajua uchumi ni kuropoka kuwa funga huyu kamala huyu, hawajui ili nchi iendelee lazima utengeneza sera za kuinua uchumi [ expansionist policies ] haya ni pamoja na serikali kufanya matumizi na kuwaachia raia wafanye shughuli za kiuchumi.Hao ni loosers hawajui wanachoongea ila Kwa vigezo vyote vya Kiuchumi,Tanzania imya Samia inafanya vizuri kuliko kawaida.
Mfano sekta ya viwanda inakua Kwa Kasi sana Kwa Sasa kuliko wakati mwingine wowote kuanzia Pwani ambako ndio mama wa viwanda Hadi Mikoani huko Rukwa,Kigoma na Katavi mambo ni 🔥🔥👇👇View attachment 3173767View attachment 3173769
2025 anatafuta jimboHuyu chawa mpya mjini , anayetafuta uteuzi, mwambieni nafasi zimejaa.
Hoja ya kipuuziSasa tumsamahe Mama huyu hata chaguzi za serikali za mitaa zimemshinda atawezaje uchumi
Awamu ya Mama tunazungumzia takwimu kama hizi ambazo haijawahi patikana kabla 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DDPyUMktFWN/?igsh=MTZnM2E4Mmg2Zno5MA==
Hali iko hivyo kwenye mazao karibu yote ya biashara.
Mtwara peke yake zaidi ya Bilioni 800 zimemwagwa Kwa wakulima na kuchangamsha Bandari ya Mtwara.
Mkuu leta sera acha matusi2025 anatafuta jimbo
Mkuu uchumi ni pamoja na kutengeneza mazingira ya raia kuwa afya bora na elimu bora na ili kuwepo na hivyo vitu lazima utengeneza mazingira ya ajira kwa kada husika.DG anadhinda mitandaoni kuandika ushuzi huu??