Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Mkuu we sio wa zamani. Chiba jamaa kafupisha alimaanisha sonchiba kama sijakosea katika miaka ya 80"-90" kulikuwa na mcheza filamu mmoja wa kihindi alikuwa mlemavu akiitwa sonchiba. Basi tokea hapo walemavu wakaanza kuitwa hivyo.
Sasa angesema sonchiba hapo sawa
 
Naam michakato ipo na haijuae Mchakalikaji na Muumba wake..
 
Nashukuru kwa info mzee nilikua najarib kutafuta stor yake huyu jamaa...ana pesa sio mchezo..
Ila kwa wabongo utaambiwa utajiri wa kichawi,baadhi ya wabongo akili zao bas tu

Huyu ndo ginimbi bwana





 
Ndo kama watu huwa nawashangaa wanasemaga eti Bakhresa alianza kubrash viatu baadae mashine ya kusaga unga na kukoboa ndo maans leo tajiri.......nyooooo!!! Siri ya utajiri wa mtu anaujua yeye mwenyewe!!
Haha wabongo wanajua siri zao hahaha..huoni kuna thread mdau kaanzisha bas kila mtu anasema siri ya tajiri anayemjua hapa bongo hahaa vichekesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…