Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

Ujana unasumbua sana mm nilikua nafanya ujinga mwingi sana ila simu ya wife nilikua naijua mpaka password yake ila ya kwangu neh....haijui kabisa .Imefika kipindi nikaamua kuachana na umalaya simu yangu si mke tu anae jua password yake mpaka watoto wangu wanaijua naishi maisha ya rahaaa sana sina vimeo japo nimezaa nje lakini na wanawske wenye adabu zao hawana maujinga ya kupiga simu hovyo.
Huyo dem anaweza akawa hajiamini ama ni malaya ana vimeo vyake bado ujana unamsumbua.
 
Kushika simu ya mwenza wako ni kosa la jinai ikithibitika unaenda jela.
 
Labda kwenye simu yake ndio kuna siri za mkutano wa Chadema ambao ulipigwa marufuku na Policcm, akaona kwa usalama wako ni bora usifungue simu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…