Githeri Man awaunganisha Wakenya wakati wa taharuki kwenye mtandao

Ndio ni kande...ila wenyewe hawatii nazi na vikorombwezo vingine.

Ni mahindi, maharage labda na magadi kiasi.
Unakua na vitu vingi ndani yake nimewahi mtembelea rafiki yangu kisii nikakuta mixer ya mahindi maharage mboga ya majani na nyama ndani wanaitanga gidheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The man himself from zero to next millionaire because of social media

sent from iPhone 7
 
Ndio mkuu, napenda sana Mokimoo...

kuna kipindi nilikw Nairobi nikazifahamu na nilikuwa nakula daily ila nilikuwa nanunua then naenda kuandaa maharage au mchuzi wa nyama mwenyewe thn nachanganya.

Mokimoo ni traditional food ya wakikuyu.
Sio hivyo tu ,pia githeri ni "national food" kiasi kwani ndio mlo unaotumiwa kwa asilimia 90% kulisha wanafunzi katika shule za boarding Kenya yote.
 
Hii ni nzuri binafsi naona ni mbinu nzuri watu maalum wa system wa wamemtumia atleast Ku neutral mjadala wa uchaguzi kenya na kwa kias naona imesadia kupunguza mihemuko ya uchaguzi hasa kwenye mitandao
 
Maharagwe na Mahindi. Mixx


sent from iPhone 7
Githeri man yuko bize kila kona
 
Githeri man yuko vizuri sana [emoji1]

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 

Guys can you point out Githeri man over that group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…