Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
tehe tehe teheHuyu jamaa anafanana na Nyani Ngabu kabisa![emoji4][emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe tehe teheHuyu jamaa anafanana na Nyani Ngabu kabisa![emoji4][emoji4][emoji4]
Serious????? Kande ndio Chakula cha taifa??? Duuuuh guys nchi yenu hiyo mmhhh hapanaSio hivyo tu ,pia githeri ni "national food" kiasi kwani ndio mlo unaotumiwa kwa asilimia 90% kulisha wanafunzi katika shule za boarding Kenya yote.
When I lived in Kenya I realized that Githeri is a staple food for the Agikuyu people...other tribes have different staple foods..e.g.The Luo is fish and ugali, the Abaluhya is chicken and ugali...the Akamba is mukimoo, the Abagusii bananas...etc..They all eat githeri (mixture of dried beans and maize...some people especially from the Coast add nazi,others might add onions,tomatoes and or meat)...Serious????? Kande ndio Chakula cha taifa??? Duuuuh guys nchi yenu hiyo mmhhh hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
The TheAmepewa shamba mitaa ya kifahari ya Karen, pia contract ya kuwa dressed na stylist wa Uhuru kwa miaka mitano na zawadi nyingi tuu hapa na pale....
HahahahaaaHahaaa! I don't think githeri is that much famous, neither the man himself. I guess he is just another shit eating idiot
Je wewe unajua maana ya quotation marks nilizoweka pale ni nini? Wacha kujihaibisha jameni githeri iwe national food kwani watu hawana chakula kingine kipenzi chao au utamaduni wao?Serious????? Kande ndio Chakula cha taifa??? Duuuuh guys nchi yenu hiyo mmhhh hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnajifunza kuweka akiba ya maneno vijana. Wewe sio Mungu. Sidhani kama sasa hivi unafikia level zake.Hahaaa! I don't think githeri is that much famous, neither the man himself. I guess he is just another shit eating idiot
Nomare [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]..KOT wanatii hadi majuu
Wee unajua maana ya question mark??? Ntolee ufala wakoJe wewe unajua maana ya quotation marks nilizoweka pale ni nini? Wacha kujihaibisha jameni githeri iwe national food kwani watu hawana chakula kingine kipenzi chao au utamaduni wao?