Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

Kwa mwenye kujua in detail kuhusu hii kitu atujuze, kwa maana mpaka sasa naona jua linachoma tu hakuna cha giza wala nini.

Karibuni wataalamu!

Cc mshana jr
Cc miss chagga
...nyani ngabu
...
...
...
 
lbd limeweka mgomo!
halafu vitu vyengine ni utabiri tu na sifa ya kutabiri inaweza kuwa au isiwe! so mkuu take it easy hizo ni action tu wametabiri vile ambavyoingeweza kutokea lkn jua kuna weza kuchange
 
Hapo umenikumbusha ile ramri ilopigwa na mtabiri asiyewahi kuwa sahihi hata akijitabiria mwenyewe, juu ya uchaguzi wa marekani
 
sasa bora hata hii ya nasa wanatumia mitambo kisha wanakisia huyo jamaa kaiaibisha kazi ya yule wamwitao ni alfa na omega! halafu watumishiwake sijui wanamfikiriaje...
 
Hao kondoo wake kama wana akili na wanajielewa, watakuwa washajiongeza kivyao
 
Jamani nasikia juzi mwezi ulishuka chini usiku kama saa tatu hivi,kwa mlioshuhudia tafadhali tujuze ambao hatukubahatika kuuona.Lakini pia tupe hii ina maana gani kisayansi
 
Hiyo kitu haipo na haitatokea.
 
Hiyo kitu haipo na haitatokea.

Unajifariji huenda labda ni kwa sababu hufatilii vyombo vya habari. Mwezi mkubwa umeonekana chini zaidi kwa lugha nyingine tunasema mwezi umedondoka. Hiyo ni dalili mojawapo kuwa kiama kipo karibuni, tujiandae!
 
Hiyo kitu haipo na haitatokea. Pole sana
Unanifurahisha sana mkuu. Haya mambo hayapo km yapo yangekuwa yameshatokea. Lini yameshawahi kutokea?
 
Hii comment yako imeondoa matusi yangu niliyotaka kuwamwagia baadhi ya makafiri humu ndani,ALLAH akuhifadhi inshallah.
Makafiri ni ninyi mnaoua watu eti mnaenda mbinguni. Kama ni maelekezo ya muhamad kuua watu kashachomwa moto tiyari bado ninyi. Achananeni na ufundamentalist wa Dini fanyeni majukumu hakuna ajuaye siku wala saa. Fanyeni kazi kama hautakufa na mtumikie Mungu wako kama unakufa Leo. Mengine ni kuwekana kwenye matatizo tu. Kuna wapuuzi wengine walisemaga mwaka elfu mbili mwisho wa dunia nakumbuka kuna baadhi wakaacha kufanya kazi kisa wanasubiri kihama mpaka sasa miaka 16 inaenda kuisha bado tunakula maisha. Mungu wetu sio kama mwanadamu.
 
Back
Top Bottom