Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

kajua kapo ila pia kuna baridi nyepesi kama ile.ya kupatwa kwa jua
 
mtume huyu huyu alieoa kitoto cha miaka 12 au kuna mtume mwingine?
Acha kashfa...Humjui MUHAMAD(S.A.W)..!!! Isije laana za MUNGU MTUKUFU...zikawa juu yako milele...****Kukuelewesha tu kibini adam kwa faida yako wewe na wengine wasio na Uelewa juu ya MUHAMAD S.A.W...ni kuwa aliyepost kuwa MTUME...Kasema kuna GIZA litatokea kwenye nyakati za mwisho wa Dunia...amemnukuu vibaya MTUME....GIZA hilo alilozungumzia yeye MTUME...bado sana kutokea...hizo ni ktk dalili za mwisho wa dunia hii...ziko dalili 10...ikitokea mojawapo milango ya Toba kwa sisi wanadamu itakuwa imefungwa...hizi tunazoziona sasa ni dalili ndogondogo...tu..
***Lengine ndg KASHFA ACHA za Dini....CHEO CHA NABII MUHAMAD Kwa haki kitajulikana kwenye Siku ya HUKUMU kesho Mbele ya MUNGU.....Binadamu wote tutasimama kwa muda mrefu sana baada ya kufufuliwa kwenye uwanja Hukumu mpaka itakuwa mateso.tukisubiri Hukumu ambayo itakuwa haitolewi mpaka kwa maombi Maalum....etc...hapo sasa ndio CHEO alichopewa MUHAMAD na MUNGU MTUKUFU kuanzia hapa duniani mpaka Akhera...ndio kitajulikana wazi mbele watu wote wa dunia hii mbele ya MUNGU....watu watajuta...na kulia mpaka machozi ya damu...lkn Haitasaidia kitu........
****La Muhimu ndg zangu Msomeni MUHAMAD na historia yake kabla yakutoa KASHFA ZISIZO NA msingi wowote kutokana na chuki za kidini....msije mkapata lana duniani na Akhera..
 
Story tu hizo. Zishakujaga nyingi mpaka tumezoea.
 
Unaonekana
4edbb17d9ee03ff284b9ba4b800c06ba.jpg
hii ni pichaduka
 
Hii comment yako imeondoa matusi yangu niliyotaka kuwamwagia baadhi ya makafiri humu ndani,ALLAH akuhifadhi inshallah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Y2K uwiiiiiiiiii.....!afadhali uje huo mgiza wa siku 5 nitulie home mie maana hata job hatutoenda napitia kununua kreti kadhaa na chupa za mvinyo nitulie kwa raha.
 
Acha kashfa...Humjui MUHAMAD(S.A.W)..!!! Isije laana za MUNGU MTUKUFU...zikawa juu yako milele...****Kukuelewesha tu kibini adam kwa faida yako wewe na wengine wasio na Uelewa juu ya MUHAMAD S.A.W...ni kuwa aliyepost kuwa MTUME...Kasema kuna GIZA litatokea kwenye nyakati za mwisho wa Dunia...amemnukuu vibaya MTUME....GIZA hilo alilozungumzia yeye MTUME...bado sana kutokea...hizo ni ktk dalili za mwisho wa dunia hii...ziko dalili 10...ikitokea mojawapo milango ya Toba kwa sisi wanadamu itakuwa imefungwa...hizi tunazoziona sasa ni dalili ndogondogo...tu..
***Lengine ndg KASHFA ACHA za Dini....CHEO CHA NABII MUHAMAD Kwa haki kitajulikana kwenye Siku ya HUKUMU kesho Mbele ya MUNGU.....Binadamu wote tutasimama kwa muda mrefu sana baada ya kufufuliwa kwenye uwanja Hukumu mpaka itakuwa mateso.tukisubiri Hukumu ambayo itakuwa haitolewi mpaka kwa maombi Maalum....etc...hapo sasa ndio CHEO alichopewa MUHAMAD na MUNGU MTUKUFU kuanzia hapa duniani mpaka Akhera...ndio kitajulikana wazi mbele watu wote wa dunia hii mbele ya MUNGU....watu watajuta...na kulia mpaka machozi ya damu...lkn Haitasaidia kitu........
****La Muhimu ndg zangu Msomeni MUHAMAD na historia yake kabla yakutoa KASHFA ZISIZO NA msingi wowote kutokana na chuki za kidini....msije mkapata lana duniani na Akhera..
me nimeuliza swali wewe unaniambia nimekashfu mkuu.nijibu swali langu nililouliza basi?
 
Kweli mjinga mzigo unazijua dalili za kiama zilizo kubwa? Hiyo haipo kabisa. Dont mock the prophet plz.
 
Back
Top Bottom