Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

naomba nifafaunue kuhusu dajari kama mtaamini lakin pia kwa mm ninavoona maana quran ni kama mafumbo au inatumia lugha ngumu..naomba kuwambia mm ninavohisi huyu dajar ni mkuu wa freemasons ambae ni lucifer kwa picha tunayogaiwa na watoa habar au makala au kupitia symbols zao inaonesha dajar ana jicho moja pia anamapembe so hv hv atakujabaadae kujitokeza baada ya wazungu wakishawateka watu kwa kuwaweka cheap nd ataanza kupita kila sehem kujinad yeye ni mung ndiyo hapo sisi tutakuwa tayar tumeshakufa iiman na ndo utakuwa mwisho wa dunia...hapo ni kwa ufupi tu ila ntaleta uzi kuwafumbua watu macho.

I can't wait to hear....
 
si walisema ni leo mbona naona jua ni kali kuliko siku zote, jana walisema mwezi kuonekana mkubwa zaidi kwani ulikuwa karibu na dunia, sijauona labda walioona watasema kweli
Mwezi ni kweli ndugu, mi nimeshuhudia hilo tukio na niliogopa sana, yaani mwezi ulikuwa unawaka kama jua ...
 
Wanasema kupatwa kwa jua ni kweli wanasema kutakua na Giza sana hivi ni habari za ukweli???
 
Watanzania na imani potofu, eti maneno ya MTUME, who is mtume ndani ya bara la afrika kwenye ngozi nyeusi na tamaduni za makabila mbalimbali, tuache kuendeleza imani potofu zilizoletwa kwa biashara ya utumwa, kwanini msitumie imani za makabila yetu kuleta maendeleo ndani ya jamii badala ya kuleta utengano na ubaguzi kwa imani za kuletwa?


Donkey
 
Unaonekana
4edbb17d9ee03ff284b9ba4b800c06ba.jpg
Mkuu juu mwezi mbona unaonekana km umetengenezwa na vioo alafu unaonekana Kama ushaanza kupata ufa au ndio watakuja Siku nyingine kutuambia wamefanya tafiti mwezi unataka kupasuka.
 
No, this is a hoax which has been repeated through the years. Just to check the facts use the search engines (eg Google ) . As a matter of fact as from tomorrow we are supposed to be in the dark, let us wait and see.
QUOTE="mshana jr, post: 18489410, member: 98741"]Hiki kitu hakitatokea trust me[/QUOTE]
 
Reports say that NASA also dispelled the rumors by blatantly saying that the news is false and fake. This means that there is no truth about the 15 days of darkness.

However, for those still looking for something out of the ordinary this November, there are a few celestial extravaganzas to look out for. On Nov. 14, 5h3 Taurids meteor shower will light up the night sky. It is a minor meteor shower that will only yield about five to 10 meteors per hour. However, many anticipate it since it will create two separate streams of showers from asteroid 2006 TG10 and Comet 2P Encke. The estimated peak date is on Nov. 4 during the first quarter moon, so stargazers can expect darker skies that are conducive for viewing meteor showers.

Meanwhile on Nov. 16 to Nov. 17, Leonids Meteor shower will occur. It can yield to up to 15 shooting stars per hour during its peak. It has a "cyclonic peak" every 33 years, according to a trusted Astronomy Calendar.

So instead of panicking from 15 days of total darkness rumors, people should prepare to watch various meteor showers this November instead.
 
Back
Top Bottom