Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

*TAHADHARI*

DALILI ZA MWISHO ZA KIAMA ZA DHIHIRI.

moja ya dalili kubwa za kiama alizotaja mtume saw ni. DUNIA ITAINGIA KATIKA GIZA MUDA WA SIKU 3 MFULULIZO. Baada ya kupita Giza hili hapo milango ya toba inafungwa .. Hakuna tena toba ya MTU yoyote itakayokubaliwa..

Shirika la Nasa limethibitisha maneno ya mtume Muhammad saw kwa kusema itakapofika tarehe 16 mwezi Wa 11 mwaka huu DUNIA ITAINGIA KTK GIZA MUDA WA SIKU 3-5 ..

*TUFANYENI TOBA HARAKA KABLA MILANGO YA TOBA HAIJAFUNGWA..*

======

NASA's Warning About Apocalyptic 'Fifteen Days of Darkness on Earth' Truth or Hoax?
u-s-border-agents-pursue-human-and-drug-smugglers-near-mexican-border.jpg

A rumor is spreading that the Earth will experience 15 days of darkness this November. Some even claim that the alleged news came straight from NASA. Is this true or just plain hoax?

The rumors started with a pronouncement that on the month of November, the Earth will experience 15 days of apocalyptic total darkness. Some believers panicked upon hearing the rumors that cited "total darkness" is about to occur. The alleged blackout will occur on Nov. 15 to Nov. 29. This rumor has already spread in November 2015 and has now resurfaced near the same month this year.

However, experts were quick to dispel the rumor, saying the total darkness speculations are a plain hoax, despite people claiming that this could be attributed to the"parallelism" of Venus and Jupiter, a natural celestial occurrence. Experts refute that even lthough it may cause some weird and stunning celestial shows, it definitely won't be causing total darkness as rumors suggest.

NASA and experts call this phenomenon "conjunction" of Venus and Jupiter. This happens when the two planets come very close to each other at only about "one-fifteenth of a degree" apart. This year, the conjunction happened last Aug. 27.

Reports say that NASA also dispelled the rumors by blatantly saying that the news is false and fake. This means that there is no truth about the 15 days of darkness.

However, for those still looking for something out of the ordinary this November, there are a few celestial extravaganzas to look out for. On Nov. 14, 5h3 Taurids meteor shower will light up the night sky. It is a minor meteor shower that will only yield about five to 10 meteors per hour. However, many anticipate it since it will create two separate streams of showers from asteroid 2006 TG10 and Comet 2P Encke. The estimated peak date is on Nov. 4 during the first quarter moon, so stargazers can expect darker skies that are conducive for viewing meteor showers.

Meanwhile on Nov. 16 to Nov. 17, Leonids Meteor shower will occur. It can yield to up to 15 shooting stars per hour during its peak. It has a "cyclonic peak" every 33 years, according to a trusted Astronomy Calendar.

So instead of panicking from 15 days of total darkness rumors, people should prepare to watch various meteor showers this November instead.

Isipotokea inabidi huyo bwana aliyetabiri tumfananishe na TB Joshua kwa Hillary Clinton
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mnanichanganya sijaelewa kabisa manene ya mtume ni kuntu sahihi kabisa swali kwa mto mada hao NASA wamesema lini tukio hilo litatokea habari IPO nusu nusu vipi?
 
Hakuna aijuae siku wala saa ya yule atakaekuja, Hata malaika Wa mbunguni hawaijui
 
  • Thanks
Reactions: PNC
*TAHADHARI*

DALILI ZA MWISHO ZA KIAMA ZA DHIHIRI.

moja ya dalili kubwa za kiama alizotaja mtume saw ni. DUNIA ITAINGIA KATIKA GIZA MUDA WA SIKU 3 MFULULIZO. Baada ya kupita Giza hili hapo milango ya toba inafungwa .. Hakuna tena toba ya MTU yoyote itakayokubaliwa..

Shirika la Nasa limethibitisha maneno ya mtume Muhammad saw kwa kusema itakapofika tarehe 16 mwezi Wa 11 mwaka huu DUNIA ITAINGIA KTK GIZA MUDA WA SIKU 3-5 ..

*TUFANYENI TOBA HARAKA KABLA MILANGO YA TOBA HAIJAFUNGWA..*

======

NASA's Warning About Apocalyptic 'Fifteen Days of Darkness on Earth' Truth or Hoax?
u-s-border-agents-pursue-human-and-drug-smugglers-near-mexican-border.jpg

A rumor is spreading that the Earth will experience 15 days of darkness this November. Some even claim that the alleged news came straight from NASA. Is this true or just plain hoax?

A rumor is spreading that the Earth will experience 15 days of darkness this November. Some even claim that the alleged news came straight from NASA. Is this true or just plain hoax?

The rumors started with a pronouncement that on the month of November, the Earth will experience 15 days of apocalyptic total darkness. Some believers panicked upon hearing the rumors that cited "total darkness" is about to occur. The alleged blackout will occur on Nov. 15 to Nov. 29. This rumor has already spread in November 2015 and has now resurfaced near the same month this year.

However, experts were quick to dispel the rumor, saying the total darkness speculations are a plain hoax, despite people claiming that this could be attributed to the"parallelism" of Venus and Jupiter, a natural celestial occurrence. Experts refute that even lthough it may cause some weird and stunning celestial shows, it definitely won't be causing total darkness as rumors suggest.

NASA and experts call this phenomenon "conjunction" of Venus and Jupiter. This happens when the two planets come very close to each other at only about "one-fifteenth of a degree" apart. This year, the conjunction happened last Aug. 27.

Reports say that NASA also dispelled the rumors by blatantly saying that the news is false and fake. This means that there is no truth about the 15 days of darkness.

However, for those still looking for something out of the ordinary this November, there are a few celestial extravaganzas to look out for. On Nov. 14, 5h3 Taurids meteor shower will light up the night sky. It is a minor meteor shower that will only yield about five to 10 meteors per hour. However, many anticipate it since it will create two separate streams of showers from asteroid 2006 TG10 and Comet 2P Encke. The estimated peak date is on Nov. 4 during the first quarter moon, so stargazers can expect darker skies that are conducive for viewing meteor showers.

Meanwhile on Nov. 16 to Nov. 17, Leonids Meteor shower will occur. It can yield to up to 15 shooting stars per hour during its peak. It has a "cyclonic peak" every 33 years, according to a trusted Astronomy Calendar.

So instead of panicking from 15 days of total darkness rumors, people should prepare to watch various meteor showers this November instead.

Kwa namna nilivyoisoma hii habari hususani hiyo iliyoandikwa kwa kiingereza inaonyesha kuwa NASA wameikanusha habari ya kuwepo hali ya giza kwa siku 3 hadi 15 ila wanadai kitakachotokea ni kwamba kutakuwa na vimondo vingi vinaruka angani ambapo wanadai kuwa vimondo 15 vitakuwa vinapita angani kwa kila baada ya lisaa.
 
ifike mahali tuwaze zaidi ya akili za kuku.. hhili la nasa ni kama itabiriwa mayan calendar na john milla na baadae rice
 
Achana na habari za mwezi kuonekana kwa ukaribu ambalo ni tukio la jion ya leo, hii ni habari tofauti kabisa
Acha kuamini vitu viitwavyo "Hoax" ni uwongo mtu, hakuna cha giza wala cha dalili za kiama, msitafute kiki
 
Watanzania na imani potofu, eti maneno ya MTUME, who is mtume ndani ya bara la afrika kwenye ngozi nyeusi na tamaduni za makabila mbalimbali, tuache kuendeleza imani potofu zilizoletwa kwa biashara ya utumwa, kwanini msitumie imani za makabila yetu kuleta maendeleo ndani ya jamii badala ya kuleta utengano na ubaguzi kwa imani za kuletwa?

Nguruwe
 
naomba nifafaunue kuhusu dajari kama mtaamini lakin pia kwa mm ninavoona maana quran ni kama mafumbo au inatumia lugha ngumu..naomba kuwambia mm ninavohisi huyu dajar ni mkuu wa freemasons ambae ni lucifer kwa picha tunayogaiwa na watoa habar au makala au kupitia symbols zao inaonesha dajar ana jicho moja pia anamapembe so hv hv atakujabaadae kujitokeza baada ya wazungu wakishawateka watu kwa kuwaweka cheap nd ataanza kupita kila sehem kujinad yeye ni mung ndiyo hapo sisi tutakuwa tayar tumeshakufa iiman na ndo utakuwa mwisho wa dunia...hapo ni kwa ufupi tu ila ntaleta uzi kuwafumbua watu macho.
 
Vipi Mtume alisema itakuwa lini? Hakuna aijuaye siku wala saa!! Hoax
 
Back
Top Bottom