Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

Kwa hiyo hao NASA walishindwa kuwaambia wakina Trump waachane na uchaguzi Kwani kiama kimekaribia,wakawaacha wenzao wakatumia Mimi hela mpaka basi, hivyo NASA sio watu wema,naota kwa sauti tu mkuu
 
Wewe mshkaji ni bonge la kiazi, soma tena hapa ukishindwa kuelewa pita hivi[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]

" In the Philippines, Muslim boys can marry at 15 and Muslim girls can marry at puberty."

Au hujui maana ya puberty?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo aisha alipokuwa ameolewa na mtume alikuwa kabalee

hivi hiko kichwa chako kimejaa tope mkuu

miaka 9 ndio hoja mawaidha mpelekee allah
 
"Usually, puberty starts between ages 8 and 13 in girls and ages 9 and 15 in boys. This wide range in ages may help explain why some of your friends still look like young kids whereas others look more like adults."

All About Puberty

Wewe jamaa ni kopo sana
 
wewe ndio kopo sababu unamtetea mtu wa miaka 50 kumbaka katoto ka miaka 9

WEWE UTAKUWA BOX KABISA HATA KAMA MWANAO ANASOMA HAPA ANAJUA BABA NI EMPTY KICHWANI ndio maana quran ikasema wewe kilaaza pamoja na allah wako wote motoni

sababu mtu mzima na akil zake anahangaika google kutetea mudy kumbaka Aisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"Usually, puberty starts between ages 8 and 13 in girls and ages 9 and 15 in boys. This wide range in ages may help explain why some of your friends still look like young kids whereas others look more like adults."

All About Puberty

Wewe jamaa ni kopo sana
wewe ndio kopo sababu unamtetea mtu wa miaka 50 kumbaka katoto ka miaka 9

WEWE UTAKUWA BOX KABISA HATA KAMA MWANAO ANASOMA HAPA ANAJUA BABA NI EMPTY KICHWANI ndio maana quran ikasema wewe kilaaza pamoja na allah wako wote motoni

sababu mtu mzima na akil zake anahangaika google kutetea mudy kumbaka Aisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] b
 
kwa hyo alikilawiti maana alikaoa kakiwa kana miaka 6 akakaingilia kakiwa kana miaka 9

Huyo ndie mtume[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamani hebu acheni hapo mlipo ni pabaya sana kila mtu ni shauri lake kuamini anachokiamini bila kubughudhiwa.
 
*TAHADHARI*

DALILI ZA MWISHO ZA KIAMA ZA DHIHIRI.

moja ya dalili kubwa za kiama alizotaja mtume saw ni. DUNIA ITAINGIA KATIKA GIZA MUDA WA SIKU 3 MFULULIZO. Baada ya kupita Giza hili hapo milango ya toba inafungwa .. Hakuna tena toba ya MTU yoyote itakayokubaliwa..

Shirika la Nasa limethibitisha maneno ya mtume Muhammad saw kwa kusema itakapofika tarehe 16 mwezi Wa 11 mwaka huu DUNIA ITAINGIA KTK GIZA MUDA WA SIKU 3-5 ..

*TUFANYENI TOBA HARAKA KABLA MILANGO YA TOBA HAIJAFUNGWA..*

======

NASA's Warning About Apocalyptic 'Fifteen Days of Darkness on Earth' Truth or Hoax?
u-s-border-agents-pursue-human-and-drug-smugglers-near-mexican-border.jpg

A rumor is spreading that the Earth will experience 15 days of darkness this November. Some even claim that the alleged news came straight from NASA. Is this true or just plain hoax?

A rumor is spreading that the Earth will experience 15 days of darkness this November. Some even claim that the alleged news came straight from NASA. Is this true or just plain hoax?

The rumors started with a pronouncement that on the month of November, the Earth will experience 15 days of apocalyptic total darkness. Some believers panicked upon hearing the rumors that cited "total darkness" is about to occur. The alleged blackout will occur on Nov. 15 to Nov. 29. This rumor has already spread in November 2015 and has now resurfaced near the same month this year.

However, experts were quick to dispel the rumor, saying the total darkness speculations are a plain hoax, despite people claiming that this could be attributed to the"parallelism" of Venus and Jupiter, a natural celestial occurrence. Experts refute that even lthough it may cause some weird and stunning celestial shows, it definitely won't be causing total darkness as rumors suggest.

NASA and experts call this phenomenon "conjunction" of Venus and Jupiter. This happens when the two planets come very close to each other at only about "one-fifteenth of a degree" apart. This year, the conjunction happened last Aug. 27.

Reports say that NASA also dispelled the rumors by blatantly saying that the news is false and fake. This means that there is no truth about the 15 days of darkness.

However, for those still looking for something out of the ordinary this November, there are a few celestial extravaganzas to look out for. On Nov. 14, 5h3 Taurids meteor shower will light up the night sky. It is a minor meteor shower that will only yield about five to 10 meteors per hour. However, many anticipate it since it will create two separate streams of showers from asteroid 2006 TG10 and Comet 2P Encke. The estimated peak date is on Nov. 4 during the first quarter moon, so stargazers can expect darker skies that are conducive for viewing meteor showers.

Meanwhile on Nov. 16 to Nov. 17, Leonids Meteor shower will occur. It can yield to up to 15 shooting stars per hour during its peak. It has a "cyclonic peak" every 33 years, according to a trusted Astronomy Calendar.

So instead of panicking from 15 days of total darkness rumors, people should prepare to watch various meteor showers this November instead.

Ufikiri kuna dalili nyingi z kiama zitatokea ndipo dajal aje Na issa arudi ref qura.n
Once again kumekucha..... Hizo mi propaganda tu, Mwisho wa dunia nakumbuka nikiwa maanza kujielewa nilisikia itakua ni 2000,

Kwanza kabisa nikwambie hiyo habari siyo kweli bali ni uzushi yani ni hoax hata kwenye web ya NASA haipo ni kama ilivyokuwa ile habari ya kuzima simu kuna mionzi inaingia duniani.
Pili wewe unayeamin Quran mbona Dajal hajaja sasa kiama kinafikaje?
Pia mbona Nabii Issa hajarudi sasa kiama kinafikaje?
Kabla ya kuleta habari jitahidi kuhakikisha umeitoa kwenye reliable source.
Mwisho kabisa tukio la mwezi litakalo tokea na mwezi kuonekana mkubwa sio mara ya kwanza uwa linatokea kila baada ya miaka 64 nadhani na mara ya mwisho lilitokea 1934 if not mistaken kwa hiyo nalo halihashilii kiama.
 
''For example, in Bangladesh, women must be 18 and men must be 21 to marry.

In Sudan, girls can marry at 10 and boys can marry at 15 or at puberty.

Sometimes the marriage age depends on religious affiliation. In the Philippines, Muslim boys can marry at 15 and Muslim girls can marry at puberty."

Hayo ni kati ya maelezo yaliyopo kwenye hiyo link , yapitie na Kama Lugha inasumbua muite Nyani Ngabu akusaidie, Mimi nina kazi nyingi za kufanya

Brother Unazidi kudhihirisha ulivyo kopo
Nadhani ameelewa kiasi
 
Mtume na Messiah ninayemjua mimi ni mmoja kwa huyo pekee ndio naamini alilosema na si mwingine.dalili nyingi sana zimeshaonekana kama wewe huzijuhi sema tukwambie, usisubiri giza linaweza lisitokee pia
 
Mungu gani mwenye uwezo na upendo wote anamuadhibu binadamu ambaye si mtimilifu na aliye muumba kwa utashi wake mwenyewe,kama binadamu ana mapungufu yanayosababisha atende hicho mnachokiita dhambi basi tafsiri yake ni kuwa huyu Mungu naye ana mapungufu

Hapana ndugu yangu huko unajichumia dhambi bure.Tumefundishwa mwenyezi Mungu ni mkamilifu na mwenye rehema.Ikiwa anaweza kusamehe dhambi nyekundu kama damu na zikawa nyeupe kama theluji hakika kwa neema anaweza kutusamehe hata na hukumu ya ya milele ukiamini hivyo.
 
me najua alisema atakuja kama mwizi
Siyo mwizi km unavyofikiri alimaanisha atakuja pasipo watu kutegemea yaan wakati wote, muda wwte km vile mwizi avaamiapo kwenye nyumba za watu.

Neno KAMA limekuchanganya sana

Yesu alikuwa mtu wa mafumbo sana kwahiyo km siyo mwelewa lazima upotee tu.

Tusameheane km nitakuwa nimekuudhi. Ss ni watoto wa baba mmoja (Mungu)
 
Dah yaani hapa nilipo jua na joto ni kali sana kuliko hata jangwa la sahara na bodo sioni dalili za giza uko mlipo vipi giza tayari????
 
Um

Umejitahid kumpa maelekezo mujarabu Sana mkuu, ubarikiwe
 
Dah yaani hapa nilipo jua na joto ni kali sana kuliko hata jangwa la sahara na bodo sioni dalili za giza uko mlipo vipi giza tayari????
Hapa giza lishaanza jaman, Uwiiiiiieee yeuwiiiiiii auwiiiii kiama jaman
 
Back
Top Bottom