Giza nene alipo Tundu Lissu, Magereza wasema wanafuatilia

Hawa wafuasi wa Lissu ni vichaa, kwani hawajui kama yupo Lock up?? Sasa wanamtaka awe anazurura hovyo!!
 
Ilishaelezwa jana mropokaji huyo alipo,

upooishaji mwingine ni kujiwewesesha tu bila sababu yoyote 🐒
 
Una akili kama viongozi wako. Hujasikia jeshi la magereza likikanusha habari inayoenea kwamba limesema Lissu yuko salama keko? Habari ya mwisho ni kwmba jeshi la magereza bado linafuatilia kilichotokea.
Movementi oda inasemaje
 
Magereza ndio wana jukumu la usalama wa mahabusu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…