Giza totoro: Kyombo Alikuwa Mbao fc ikashuka daraja, akahamia Ihefu ikashuka daraja, singida united na Mbeya Kwanza kachezea nazo zikashuka.

Kama hao mnakubali timu zao ziliwahi kushuka daraja Sasa msikatae ata Simba inaweza kushuka Daraja. Cha msingi timu isajili iachane na chupri.
 
Kama huna taarifa sahihi si ukae kimya badala ya kuandika uzushi na uongo!

Katafute taarifa sahihi uje ufanye masahihisho na uombe msamaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…