Giza totoro: Kyombo Alikuwa Mbao fc ikashuka daraja, akahamia Ihefu ikashuka daraja, singida united na Mbeya Kwanza kachezea nazo zikashuka.

Giza totoro: Kyombo Alikuwa Mbao fc ikashuka daraja, akahamia Ihefu ikashuka daraja, singida united na Mbeya Kwanza kachezea nazo zikashuka.

Wijnaldum katoka Newcastle iliyoshuka daraja kaja Liverpool
Robertson katoka Hull city iliyoshuka daraja kaja Liverpool
Xherdan Shaqiri katoka stoke city iliyoshuka daraja akaenda Liverpool
Wote Hawa watu walienda kuipa Liverpool Champion league na EPL!!!
Tafakari!!
Kama hao mnakubali timu zao ziliwahi kushuka daraja Sasa msikatae ata Simba inaweza kushuka Daraja. Cha msingi timu isajili iachane na chupri.
 
Giza limekuwa jeusi tiiii...

Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 😂😂

Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha, wangebaki walikuwa wanakyla bao 10 - 0.
Kama huna taarifa sahihi si ukae kimya badala ya kuandika uzushi na uongo!

Katafute taarifa sahihi uje ufanye masahihisho na uombe msamaha!
 
Back
Top Bottom