EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kushauriwa na waliomtangulia si mbaya pia! Amewahi kukataa KATIBA MPYA? Alisema katiba mpya itakuja tu! Mnataka ndani ya miezi 6 kila kitu kishughulikiwe? Mngeweza?Kama ni kweli hana doa la ufisadi na huku Kikwete akiwa mshauri wake, hana sababu ya kuchelewesha kupatikana KATIBA waitakayo wananchi!!
Sasa we utawauzia nini uingereza? Au utanunua bidhaa gani kutoka UK? hata blender ya UK huiwezi bei yake.Kama unasema hatufanya biashara la Uingereza, basi sasa ndio tunaanza , kazi ya Tony Blair hiyo!!!
Acha ku generalise..kama una mpenda ni wewe..hizi tozo zinaumiza watanzania.Hongera sana Mama Samia,
We proud of you,
Tunakuoenda sana,
Aisee mna shida sanaa, kusafiri ushu, kutosafiri ishu? Mnataka nini guys?Si ni mkutano wa wakuu wa nchi BORIS amegoma kuja? Hwy mjumbe tena mnamuita "maalumu"
"Okay Tony Blair je? huyu tuna jambo nae ni mshauri wetu"
Ishu ya kusafiri imekujaje??Aisee mna shida sanaa, kusafiri ushu, kutosafiri ishu? Mnataka nini guys?
Umelaumu hapo MkuuIshu ya kusafiri imekujaje??
Umeelewa nilichohoji??Umelaumu hapo Mkuu
Haka akimwaga mara kumi zaidi ya hizo hutaiona hata 100 kama utaendelea kulalamika hovyo namna hiiMAMA KAJITAHIDI KUIFUNGUA KWELI NCHI LAKINI BADO HALI NI NGUMU SANA HUKU CHINI,SASA NATAFAKARI MAMA AMEMWAGA FEDHA 1.3TR,LAKINI BADO MZUNGUKO HAUJAKAA,JE YULE BWANA KAMUA KAMUA ANGELIKUWEPO MPAKA LEO HII SIJUI HALI INGEKUWAJE?KWA WANANCHI WA KAWAIDA,UKIONDOA MASWAHIBA ZAKE
Ngoja nirudi kwenye msingiUmeelewa nilichohoji??
Tokalini Matonya akafanya biashara na DangoteAache uongo lini tumefanya biashara na Uingereza
Hii post yako imejaa "negativity 100%", huo mkutano wengi watahudhuria, akiwepo Rais wa dunia "Joe"Si ni mkutano wa wakuu wa nchi BORIS amegoma kuja? Hwy mjumbe tena mnamuita "maalumu"
"Okay Tony Blair je? huyu tuna jambo nae ni mshauri wetu"
Mjumbe wa nyumba 10Kwani huyo mwenyewe hajahudhuria mkutano mpaka atutumie mjumbe
Unataka tuwaige hao?Brazil, Japan, na South Africa, N.k wamejiondoa kutoshiriki kwenye mkutano wa Kimataifa wa mabadiliko ya hali ya hewa...
Kuna nini hapo nyuma ya pazia !?
Wekeni akiba ya maneno, leo ndiyo kwanza siku ya kwanza ya mkutanoMjumbe wa nyumba 10
Simu zao tu hatuwez kununua tena simu za vitoch tu vikija bongo vina uzwa kuanzia laki mojaSasa we utawauzia nini uingereza? Au utanunua bidhaa gani kutoka UK? hata blender ya UK huiwezi bei yake.
Sie wenzetu aghalabu ni Turkey, china, Japan malaysia, SA, egypt...hao wengine sijui UK, USA, Italy, Belgium, France, Russia, Germany sio tu kufanya nao biashara ila hata tukiwa masoko yao hatutamudu bei ya bidhaa zao. Hata shati kutoka UK au US hutomudu.
Kwai Boris Johnson yupo bize kutuma "mjumbe wake maaalumu?"Hii post yako imejaa "negativity 100%", huo mkutano wengi watahudhuria, akiwepo Rais wa dunia "Joe"
Bei yake sawa na smart ya vietnam.Simu zao tu hatuwez kununua tena simu za vitoch tu vikija bongo vina uzwa kuanzia laki moja