Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Hivi wote ni wafupi au Chief ndo kazidi ufupi😂😂😂
 
Wana hasira haswaa, hawataki kuongozwa na serikali isiyo na unafiki na uongo, Inayoongozwa na mtu safi asiye na doa la ufisadi
Yupi sasa sio mnafiki,kuna mtu mnafiki kama Chifu,basi dunia nzima hakuna mnafiki,kama huyu nyamititi sio mnafiki
 
Hii Nchi bora Wassira angekuwa Raisi ili kuvutia Watalii wawe wanakwenda Ikulu badala ya Gombe.
 
Rais Mstaafu Kikwete alikuwa anaalikwa na Viongozi walikuwa wanagombania kupiga Picha nae.

Kwasababu aliachia Demokrasia ikomae sasa huyu Mama sijui anadanganywa na nani mpaka atembee na bendera kubwa kama taulo.

Yarabi stara.
 
Rais Mstaafu Kikwete alikuwa anaalikwa na Viongozi walikuwa wanagombania kupiga Picha nae.

Kwasababu aliachia Demokrasia ikomae sasa huyu Mama sijui anadanganywa na nani mpaka atembee na bendera kubwa kama taulo.

Yarabi stara.
Kikwete alikuwa anawahonga wapinzani ili awatumie kwa manufaa yake, JPM na Mama wamekataa huo upuuzi
 
Kikwete alikuwa anawahonga wapinzani ili awatumie kwa manufaa yake, JPM na Mama wamekataa huo upuuzi
Sio kweli, mimi wakati huo nilikuwa Kada mtiifu wa CCM, Kikwete aliweka uwanja huru wa kufanya Siasa

Mimi nampenda Samia, ila napenda aachane na Siasa za Awamu ya Tano zilizokuwa zimejaa chuki na zilizokuwa zimeligawa Taifa.

Kukosoa sio chuki kweni akitupa Katiba mpya yeye atapungukiwa na nini?,kweni akiondoa kero za Muungano yeye atapungukiwa na nini?

Kweni akiruhusu sisi Wapinzani tupige pelepete zetu bila kuvunja Sheria yeye atapungukiwa na nini?

Dunia ya leo Wawekezaji wanaogopa kuleta mitaji yao sehemu ambayo kuna ukandamizaji.
 
Nyie miafrika mbona hamjiamni? Au mnafikiri kujifungia ndani kama mwendazake ndo maendeleo. Toka nje kapambane hayo ndo maendeleo kijana
Mbona ma Raisi wa nchi nyingine hawa tembei hovyo mfano Botswana, Namibia, Ghana, Vietnam, Singapore, Irani, Korea,
 
1.3 wew umepata ngapi .mbona wafanya biashara wanadai heri enzi za magu
 
Nani analalamika? Naongelea maneno ya walio wengi mitaani mpaka kariakoo.(tujifunze kuwa kauli ya walio wengi)
Ukiona kiongoz wa nchi yoyote ana penda kutembea nchi za watu huyo haji elewi kwanin atembee yeyetu mbona Raisi wa Ghana, sijawai kumuona wala kusikia akienda kuombaomba Kwa wazungu?
 
Mama hataki kubembelezeana, kila mtu apambane na hali yake! Najua ugomvi wako na mama ni kesi ya Mbowe, lets wait and see, kesi ipo hewani, hakuna ataonewa kwenye hii kesi
 
Muwakilishi wa Boris anakaaa kwa kumuogopa Rais wetu namna hii..
 
Wazungu wanajua kuwa huyo mama anawatesa wapinzani wake WA kisiasa?
 
Acha ku generalise..kama una mpenda ni wewe..hizi tozo zinaumiza watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
Seems huna kumbukumbu hata ya maneno kwenye sentensi zako! Unamtaka mwandishi aache generalisation lakini wewe mwenyewe katika maandishi hayo una- generalise! Anaejua umuhimu wa tozo kwa maendeleo ya nchi, haimuumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…