Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Walianza kutembea then wakapa maendelea sasa wamesetle. We dont settke if we have not reached pareto optimal.
Mbona ma Raisi wa nchi nyingine hawa tembei hovyo mfano Botswana, Namibia, Ghana, Vietnam, Singapore, Irani, Korea,
 
Tunaambiwa anatangaza fursa za utalli Tanzania, Je, ndio yale mambo ya Terrorsm ya kule mahakama ya viongozi wa upinzani?
 
Nilijua anaenda kuvizia watu wa kupiga nao picha
 
Haya twende. Safari hii sijui wanamwingiza mkenge gani hawa waingereza..ni wajanja sana mama hawawezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€”πŸ€”
Mama anashauriwa na wajanja wa mjini, na yeye ni mjanja pia
 
Ukiona kiongoz wa nchi yoyote ana penda kutembea nchi za watu huyo haji elewi kwanin atembee yeyetu mbona Raisi wa Ghana, sijawai kumuona wala kusikia akienda kuombaomba Kwa wazungu?
#Kagame yupo Italy muda huu.
 
Amekutana na kufanya mazungumzo.

Tunahitaji matokeo.

Tunaomba sana jamanii,

Kina mama hawana maji na hakuna wa kuwatetea.
Magari 25 ya kuchimba visima vya maji sio utetezi kwa kinamama kupata maji? Mitambo 5 ya kupima upatikanaji wa maji kabla ya kuchimba si utetezi kwa kinamama kupata maji? Tukosoe lakini tuwe rational sio kwa chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…