Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Haya twende.....
FDFrUa0X0AkoBEt
Haya twende. Safari hii sijui wanamwingiza mkenge gani hawa waingereza..ni wajanja sana mama hawawezi 😂😂🤔🤔
 
Walianza kutembea then wakapa maendelea sasa wamesetle. We dont settke if we have not reached pareto optimal.
Mbona ma Raisi wa nchi nyingine hawa tembei hovyo mfano Botswana, Namibia, Ghana, Vietnam, Singapore, Irani, Korea,
 
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney

Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini

View attachment 1994240

FDFGraVX0AIm5l6
Tunaambiwa anatangaza fursa za utalli Tanzania, Je, ndio yale mambo ya Terrorsm ya kule mahakama ya viongozi wa upinzani?
 
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney

Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini

View attachment 1994240

FDFGraVX0AIm5l6
Nilijua anaenda kuvizia watu wa kupiga nao picha
 
Ukiona kiongoz wa nchi yoyote ana penda kutembea nchi za watu huyo haji elewi kwanin atembee yeyetu mbona Raisi wa Ghana, sijawai kumuona wala kusikia akienda kuombaomba Kwa wazungu?
#Kagame yupo Italy muda huu.
 
Amekutana na kufanya mazungumzo.

Tunahitaji matokeo.

Tunaomba sana jamanii,

Kina mama hawana maji na hakuna wa kuwatetea.
Magari 25 ya kuchimba visima vya maji sio utetezi kwa kinamama kupata maji? Mitambo 5 ya kupima upatikanaji wa maji kabla ya kuchimba si utetezi kwa kinamama kupata maji? Tukosoe lakini tuwe rational sio kwa chuki.
 
Back
Top Bottom