Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mama anaupiga mwingi sana hahaha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndio MJINGA wa mwisho huyu nani[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Jameni someni au jiendelezeni! Tunakua na Nchi iliyojaa watu mbumbumbu lakini wanao jifanya "much know"! Mkutano alioenda Rais Samia haukua wa Boris Johnson na Rais Samia! Ulikuwa ni wa viongozi wa Nchi na pia viongozi Wakuu wa Nchi huwa hawakutani kama watu wanaokutana kwenye baa ya pombe bali ni kwa appointment na kufuata protocol!
Sasa mtu hujui hata abc za International Relations lakini unavyojitia mjuaji hadi unakera!
Wamefanya mazungumzo?[emoji28][emoji28] au ni namuomba tupige picha
Wanataka kutuchota akili hawaKweli kwa Nini mwenyeji Hana BENDERA ? Dah hapa tunapigwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pole ChiefWanataka kutuchota akili hawa
@Biayetu umerudi kivinginePole Chief
Nilikuahidi picha, nimekuletea mpuuzi, unabaki kupiga propaganda tu hapa, jinga kubwa@Biayetu umerudi kivingine
Kumbe AKILI HUNA nilikuambia uniletee video ya mazungumzo hata ya huyo mjumbeNilikuahidi picha, nimekuletea mpuuzi, unabaki kupiga propaganda tu hapa, jinga kubwa
Kumbe AKILI HUNA nilikuambia uniletee video ya mazungumzo hata ya huyo mjumbe
Iko wapi TBC hawakwenda huko? Acheni propaganda za kijinga. kuhusu kuhutubia alomost viongozi wote watahutubia, so hilo halina msingi
We mbona huna akili???? umeeelewa nilichokuuliza??
Pole sana chief, chuki zako kwa taifa hili hazitasaidia chochote.....We mbona huna akili???? umeeelewa nilichokuuliza??
NAOMBA VIDEO YA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA BORIS JOHNSON
Sijakuambia habari za kuhutubia mkutano
Umeikosa unakuja na ngonjera haya jioni kachukue buku5 pale lumumba, maana hapa unatumia free wifi ya ofisiPole sana chief, chuki zako kwa taifa hili hazitasaidia chochote.....
View attachment 1995392
Jinga wewe, mimi hata sipo huko TZ kwenuUmeikosa unakuja na ngonjera haya jioni kachukue buku5 pale lumumba, maana hapa unatumia free wifi ya ofisi
Basi ni MJINGA sana kushabikia uliyoyakimbia KAA KIMYAJinga wewe, mimi hata sipo huko TZ kwenu
Pole chief, kuichukia nchi yako haitokusaidia chochoteUmeikosa unakuja na ngonjera haya jioni kachukue buku5 pale lumumba, maana hapa unatumia free wifi ya ofisi
Unateseka ukiwa wapi Mkuu?Basi ni MJINGA sana kushabikia uliyoyakimbia KAA KIMYA