Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Mama anaupiga mwingi sana hahaha...
 
Jameni someni au jiendelezeni! Tunakua na Nchi iliyojaa watu mbumbumbu lakini wanao jifanya "much know"! Mkutano alioenda Rais Samia haukua wa Boris Johnson na Rais Samia! Ulikuwa ni wa viongozi wa Nchi na pia viongozi Wakuu wa Nchi huwa hawakutani kama watu wanaokutana kwenye baa ya pombe bali ni kwa appointment na kufuata protocol!
Sasa mtu hujui hata abc za International Relations lakini unavyojitia mjuaji hadi unakera!
We ndio MJINGA wa mwisho huyu nani[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Ficha ujinga wako kenge we!
FB_IMG_1635791419212.jpg
 
najisikia fahari na faraja kumuona Rais wangu Samia akijumuika na viongozi wenzake Duniani.
Hakika Samia ni kiongozi.
 
Mama anaupiga mwingi sana.....
 
Nilikuahidi picha, nimekuletea mpuuzi, unabaki kupiga propaganda tu hapa, jinga kubwa
Kumbe AKILI HUNA nilikuambia uniletee video ya mazungumzo hata ya huyo mjumbe
Iko wapi TBC hawakwenda huko? Acheni propaganda za kijinga. kuhusu kuhutubia alomost viongozi wote watahutubia, so hilo halina msingi
 
Tanzania tunaheshimishwa tena kwa sasa, Asante Samia....
 
Back
Top Bottom