GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

Hongere Mbwana kuwa mchezaji wa kwanza EA kutwaa taji kama hilo

Vilabu vya ulaya sasa vinakukodolea macho, usibweteke kaza buti

Umethibitisha tatizo letu si wachezaji, ni maandalizi na mafunzo
 
Hongera Mbwana Samatta. Tahadhari usiwe kama Hashim Thabit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…