Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kuipenda nchi yako na kuwa tayari kuifanyia lolote lililo ndani ya uwezo wako.Uzalendo maana yake nini kwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuipenda nchi yako na kuwa tayari kuifanyia lolote lililo ndani ya uwezo wako.Uzalendo maana yake nini kwani
Ni hayo tu? Km ni hayo tu basi Niko sahihi kuacha kujishughulisha na biashaya ya uzalendoKuipenda nchi yako na kuwa tayari kuifanyia lolote lililo ndani ya uwezo wako.
Kumbe wewe ulidhani ni yepi zaidi?Ni hayo tu? Km ni hayo tu basi Niko sahihi kuacha kujishughulisha na biashaya ya uzalendo
Mkuu Nilidhani kuna zaidi ya hayo ulonambia,Kumbe wewe ulidhani ni yepi zaidi?