GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

Inabidi arudi nyumbani na makahaba kadhaa pale airport vije vikundi vya mduara hapo vimpokee kwa full shangwe kisha aende ikulu kama yule mwengine..
 
Hongera saaaanaaaaaa Dogo Mungu Akuzidishie zaidi na zaidiiiiiiiii

Wapi HASHEEM THABITI ajioneeee mafanikio ya Mwenzake NBA itakushindaje kama D-LEAGUE NBA ya huko unawezaaaaaa?


JK alikusifia weeee Hasheeem ukaja na mbwembewe weeee za kuleta wenzako wakina Curry ambao wao ndio sasa wanaongoza kwa kukipiga NBA wakati wewe ndio Mrefu zaidi ya wachezaji walioko NBA and D-League NBA.

My Take;


HASHEEEM you need to focus na ujue unachotaka kama huweze basi kacheze Basktball League za Spain au Italy or China.
 
why not, unataka ikulu waende watu wa aina gani ndio uridhike, kati ya kazi nyingi za rais ni pamoja na hiyo...waende maprofesa vyuo vikuu wanaotafuna vitoto usiku na mchana, Magufuli muite samata !
 
Baada ya mda mrefu, hatimaye Tanzania yatajwa kati ya washindi. Ni faraja sana
 
In Mond's style! Hongera sana Samatta hii ni ya wa Tz wote
 

Attachments

  • 1452233080941.jpg
    13.9 KB · Views: 31
Hongera sana Samatta,hakika umetuwakilisha vyema.
Kila la heri huko uendako
 
Usiku wa kuamkia January 08 2016 najua kuna Watanzania ambao macho na masikio yao yalielekezwa Nigeria ambako zilikuwa zinatolewa Tuzo za wakali wa soka Afrika.

Good news ni kwamba staa wa soka ambaye amekiongoza kikosi cha TP Mazembe kufanya vizuri michuano ya Afrika, Mtanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa soka Afrika mwaka 2015 kwa wachezaji wanaochezea Afrika.
 
Juhudi na bidii zimekufisha hapo ulipofika...
 

Attachments

  • 1452234491040.jpg
    40 KB · Views: 40
Hingera Samata unaungana na Diamond kutuwakilisha vema. Kyle ni icon ya nchi.

C.C nifah, shardcore na majirani wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…