Pre GE2025 Global TV, Jambo TV, TBC, EATV na wengine wamepitishiwa vibunda kumchafua Lissu? Wapost habari kusambaza chuki dhidi yake

Pre GE2025 Global TV, Jambo TV, TBC, EATV na wengine wamepitishiwa vibunda kumchafua Lissu? Wapost habari kusambaza chuki dhidi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa vinafanana:BearLaugh::BearLaugh: CCM ndio mmeishiwa kiasi hiki?

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mlifanya kwa Kitima ikagoma sasa mmehamia huku? Ila katika hawa wote, Jambo mmeniangusha sana. Mmefikaje huku? Msiniambie hamkujua kama mmetumika, kwamba mmeona ni habari tu ya kawaida ambayo wananchi wanataka kujua!🤔🤔Wale EFM ndio wamejifanya kufuta, wapuuzi kabisa, tuna risiti ya upumbavu wenu.

EATV ukajipambanua eti ukapost watu wa Dar, wenyewe mkaona hapo ndio mmeonesha diversity ila ITV ikafeli, ikarudi kwenye script :KEKWlaugh: :KEKWlaugh: ... na watu wanaohojiwa hawazidi 5, halafu ukipitia title zinasema wanajamii!

Mnazidi kujiharibia kwenye credibility yenu na ugali wenu! Kinachoshangaza ni kuwa hamjifunzi, maana mwisho huwa ni ule ule, mnatemwa na mmekufa hivyo.

Mwaka huu tutamuona mama hadi kwenye yebo yebo:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:!

View attachment 3236579
Ukiwa na mtu kama Tyson unategemea anaweza kumshauri nini Mwenyekiti wake zaidi yakutumia mbinu za mwaka 47 ambapo watu hawakua na uelewa ukizileta kwenye zama hizi za akili mnembe unapoteza relevance hao wanaonekana ni wanasisiemu wote na masikini wa fikra na kipato pia wamefanya kazi yafedheha kwaujira wanaita maoni ile hali yanaonesha wameukizwa kitu kimoja nakuelekezwa chakujibu na haya ndio madhara yakuwa na waandishi makanjanja wenye njaa kali
 
HAPANA....

Mkosoeni kwa kujibu hoja zilizotolewa kwa ku - prove kuwa, CHADEMA are wrong, Tundu Lissu is wrong...

Mfano, Moja ya hoja iliyowaingia watu na kutafakarisha sana ni hii ya KUTOKUWEPO KWA MGAWANYO WA HAKI NA USAWA WA MAJIMBO YA UCHAGUZI WA WABUNGE..

Hebu fikiri haya👇👇

1. Inawezekana vipi Zanzibar yenye wapiga kura 500,000 tu iwe na majimbo ya uchaguzi (Wabunge) 50 wa kuingia ktk Bunge la JMT wakati huohuo DSM yenye wapiga kura 3,000,000+ iwe na majimbo ya uchaguzi (Wabunge) 10 pekee?

2. Kama wewe hapo ulipo una akili kichwani mwako kwelikweli na za maana, unaweza kueleza ni kigezo gani kimetumika kufanya mgawanyo huu...?

3. Huo mgawanyo una - make sense kweli kwako..? Kwanini NEC inafanya hiv? Unadhani ni nini motives za NEC kuwa mgawanyo wa kipuuzi hivi..?

4. Je, hii nayo mnaweza kuipinga kuwa sio hoja, sio tatizo linalohitaji reforms za kisheria na kikatiba sawasawa na kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS, NO ELECTION...?

##Kama ni hoja, hawa wazee mnaoenda kuwarekodi huko Singida na kuwarusha mitandaoni ndiyo wanajibu hoja hizo au kwa makusudi tu mmeamua kwenda more extra miles za ujinga na upumbavu wenu...??

##Mpka hapa mimi nashindwa kuamini kama vituko hivi vinafanywa na wana CCM wenye akili timamu kweli au walevi na wendawazimu fulani hivi...!!??
Dogo, dunia yote toka imwkuwepo HAIJAWAHI kutawaliwa au kuendeshwa kwa misingi ya "EQUALITY". Bali dunia inaendeshwa na kutawaliwa kwa misingi ya "EQUITY".

Sijui kama unaijua tofauti yake?
 
Dogo, dunia yote toka imwkuwepo HAIJAWAHI kutawaliwa au kuendeshwa kwa misingi ya "EQUALITY". Bali dunia inaendeshwa na kutawaliwa kwa misingi ya "EQUITY".

Sijui kama unaijua tofauti yake?
Rudi kwenye maswali yangu juu ya mgawanyo wa majimbo...

Kwanini Zanzibar yote yenye voters 500,000 iwe na majimbo 50 na DSM yenye voters 3,000,000+ iwe na majimbo 10 tu...?

Kwa akili yako ndogo uliyonayo, unadhani hapo ndugu zako wa NEC walizingatia principle ipi kati ya EQUITY au EQUALITY...?

EQUITY
= Means organizing and doing things fairly and justly...
= It also means recognizing that we do not all start from the same place and must acknowledge and make adjustments to imbalances.

##Kwa mfano wa DSM & Zanzibar pekee huoni kuwa kuna imbalances kwenye hili moja tu? Why don't we do adjustment (some reforms) to adjust these unnecessary vices of imbalances .?

EQUALITY
= Means providing the same to all...

##This is Godly principle. Ignoring it, you excludes yourself from his dominion..
 
Samia ni chaguo la Watanzania,hilo halina ubishi.
Mzalendo,mchapa kazi,Mpole,mwenye hari,Mama Mwenye maono,Kura za Watanzania ni kwake tu,
2025,Tupo na Mama
 
Ni wapumbavu, watachoka kueneza upumbavu wao.LISSU anazidi ku shine
 
Cha kushangaza ni nini hapo katika Siasa za Majitaka ? Au ulikuwa hujui kwamba ndio Siasa za Bongo ?, Na kwa sehemu kubwa sana siasa za Kidunia; Unategemea nini zaidi ya kuchafuana kama agenda nyingi ni kuhusu matukio na Watu
siasa za majitaka ni siasa za wapumbavu, hawana akili
 
Back
Top Bottom