Pre GE2025 Global TV, Jambo TV, TBC, EATV na wengine wamepitishiwa vibunda kumchafua Lissu? Wapost habari kusambaza chuki dhidi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiwa na mtu kama Tyson unategemea anaweza kumshauri nini Mwenyekiti wake zaidi yakutumia mbinu za mwaka 47 ambapo watu hawakua na uelewa ukizileta kwenye zama hizi za akili mnembe unapoteza relevance hao wanaonekana ni wanasisiemu wote na masikini wa fikra na kipato pia wamefanya kazi yafedheha kwaujira wanaita maoni ile hali yanaonesha wameukizwa kitu kimoja nakuelekezwa chakujibu na haya ndio madhara yakuwa na waandishi makanjanja wenye njaa kali
 
Dogo, dunia yote toka imwkuwepo HAIJAWAHI kutawaliwa au kuendeshwa kwa misingi ya "EQUALITY". Bali dunia inaendeshwa na kutawaliwa kwa misingi ya "EQUITY".

Sijui kama unaijua tofauti yake?
 
Dogo, dunia yote toka imwkuwepo HAIJAWAHI kutawaliwa au kuendeshwa kwa misingi ya "EQUALITY". Bali dunia inaendeshwa na kutawaliwa kwa misingi ya "EQUITY".

Sijui kama unaijua tofauti yake?
Rudi kwenye maswali yangu juu ya mgawanyo wa majimbo...

Kwanini Zanzibar yote yenye voters 500,000 iwe na majimbo 50 na DSM yenye voters 3,000,000+ iwe na majimbo 10 tu...?

Kwa akili yako ndogo uliyonayo, unadhani hapo ndugu zako wa NEC walizingatia principle ipi kati ya EQUITY au EQUALITY...?

EQUITY
= Means organizing and doing things fairly and justly...
= It also means recognizing that we do not all start from the same place and must acknowledge and make adjustments to imbalances.

##Kwa mfano wa DSM & Zanzibar pekee huoni kuwa kuna imbalances kwenye hili moja tu? Why don't we do adjustment (some reforms) to adjust these unnecessary vices of imbalances .?

EQUALITY
= Means providing the same to all...

##This is Godly principle. Ignoring it, you excludes yourself from his dominion..
 
Samia ni chaguo la Watanzania,hilo halina ubishi.
Mzalendo,mchapa kazi,Mpole,mwenye hari,Mama Mwenye maono,Kura za Watanzania ni kwake tu,
2025,Tupo na Mama
 
Ni wapumbavu, watachoka kueneza upumbavu wao.LISSU anazidi ku shine
 
Cha kushangaza ni nini hapo katika Siasa za Majitaka ? Au ulikuwa hujui kwamba ndio Siasa za Bongo ?, Na kwa sehemu kubwa sana siasa za Kidunia; Unategemea nini zaidi ya kuchafuana kama agenda nyingi ni kuhusu matukio na Watu
siasa za majitaka ni siasa za wapumbavu, hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…