Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Habari inasikitisha Sana hiyo nimeona kwa ufupi live coverage EATV inasemekana kuna bibi miongoni mwa marehemu ambaye mwezi uliopita kafiwa na binti yake aliyekuwa mjamzito. Wakandarasi wetu mtusaidie kuondokana na maafa haya yanayoweza kuepukika.
Technologia ya ' expansion joint ' hiyo!
 
Kuna shida gani Tanzania building agency TBA kuwa na mandatory supervision kwenye hizi ghorofa
 
Nalifaham vizuri lile jengo aisee daily napita hapo na hata saiz naelekea njia hiyo
 
Nimetoka juzi kuja bagamoyo tayari kumeharibika!?
Huko ndiyo ninakoishi.
Eti goba ipi?
 
Kama Mwenye Jengo ni Mchagga kwavyovyote atakuwa anawaza hela yake iliyotumika na Sio hao watu walioangamia huko. Yaani mkimuona anakuja na kupiga makelele kwa kulia ' Yethu wangu, Yethu Wangu" . mjue analilia Mali zake tu na Sio vinginevyo.

Bwashee Mungu anawaona
 
Nashangaa Kwanini Mnashangaa katika Hili kuna Watu wanaitwa Wakadiria Majenzi...Engineer, Afisa Ardhi....Afisa Mipango, woote katika Wilaya wanwahusika Na ukaguzi wa Ujenzi huu..Hawajafanya Kazi yao Hawa watu ni kuwakatama wote.
 
Na kawaida ujenzi wa Majengo ya ghorofa lazima kuwepo na bango lenye taarifa muhimu kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa sasa sijui hapo palikuwa na bango ama la
 
Back
Top Bottom