Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Kweli jamani
Hizo nondo mbona kama kibanda changu cha kuku?
Kweli mkandarasi anaponaje hapo?

IMG_3442.png
 
Kuna kigorofa pale bunju b stend.
Kinajengwa kila nikipata uwa sikaamini hata kidogo.
Ujenzi wake NI wa kufunga unga Sana.
 
Wenzetu kabla ya ujenzi lazima hatua zifuatwe na ukaguzi ufanyike. Na wakati ujenzi ukiendelea lazima kuna inspectors wanapitia kukagua kuanzia wa mabomba, umeme mpaka matofali. .


Huku ukishanunua kiwanja na raman yako unaendelea na ujenzi japo siku hizi wanalazimisha kupata kibali cha ujenzi.
 
Kila siku napita hili eneo. Juzi tu nimetoka kusema hili ghorofa, mm siliamin kabisaa.

Iko hivi.
Hilo jengo lillianza kuinuliwa kuwa ghorofa wiki 2 zilizopita. Awali mchoro ulikuwa ni fremu za kawaida kama fremu nyingine barabarani. Sasa wiki 4 nyuma naona wakaweka bim, ambayo ina inchi 12 nadhan badala ya inch 30 kama ghorofa nyingne. Na kuanza kujenga kama ghorofa.
Kwahiyo ina maana msingi ule wa fremu za kawaoda haukuweza kuhimili uzito wa ghorofa iliyoongezwa , bado kuna uzito wa mbao na paa maana wameezeka hawana hata wiki.

Pia eneo lilijazwa kifusi. Nadhan na hii mvua maji yalizama chini na yakaleta joto baada jua kutoka.

Msingi amelaza tofali ila hajaweza nguzo nying, coz alijua ni fremu na sio ghorofa. kuanzia ground hajalaza tofali pia.

Kiufup kalaza tofali za msing tu. Bim nyembamba. Hakuna nguzo za kwenye kona.

Tatizo ni Eng/fund mkuu hajatoa ushaur vizur kwa tajiri.

Watu waliofariki ni zaid ya 10 nadhan.

RIP majiran zangu
 
Hapo wachunguzwe waliotoa kibali Cha ujenzi.
TBS kwa kuruhusu nondo zisizo na viwango kuingia sokoni.
ERB kwa kumpa leseni huyo engineer wa vodafasta.

Lakini yote haya yakiendelea nimkute engineer central (lockup) akiwa Hana viatu na mkanda
 
Kumbe wachaga ndo kila kitu mjini, kujenga wao, baa zao, maduka yao, hotel na guest zao, nyama choma zao,elimu yao nk nk sasa wengine makabila yenu viiiipiiii
Ile mitaa hakuna kabila lingine wamekaza kama ubwawa

USSR
 
Natanguliza poleza za dhati kwa wa hanga wa tukio hilo. MUNGU azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Majeruhi GET WELL SOON.

NANI ALAUMIWE KWA HILO?
....Mwenye Jengo!!!?
....Fundi/mkandarasi au
.....majirani ambao ndio wahaga zaidi.

NIKIWA KAMA MDAU WA UJENZI
Ningependa nitoe ushari huu ...

CHEAP IS EXPENSIVE



DEDICATION KWA CLIENT WOTE WAPENDA DEZO
 
Natanguliza poleza za dhati kwa wa hanga wa tukio hilo. MUNGU azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Majeruhi GET WELL SOON.

NANI ALAUMIWE KWA HILO?
....Mwenye Jengo!!!?
....Fundi/mkandarasi au
.....majirani ambao ndio wahaga zaidi.

NIKIWA KAMA MDAU WA UJENZI
Ningependa nitoe ushari huu ...

CHEAP IS EXPENSIVE



DEDICATION KWA CLIENT WOTE WAPENDA DEZO
Majirani wana kosa gani?
 
Back
Top Bottom