Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa.
Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika naomba liangalie hili jambo.
Huwezi amini kuna watu wanaenda kuchimba kwenye mabonde ya mito ili kupata maji ya kutumia.