KERO Goba mitaa ya Kwa Robert, Muhimbili, Mageti haina maji wiki ya pili sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa.

Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika naomba liangalie hili jambo.

Huwezi amini kuna watu wanaenda kuchimba kwenye mabonde ya mito ili kupata maji ya kutumia.
 
Huenda tatizo la maji litaisha muda mfupi kampeni zikianza! Ujinga na Matatizo ya wananchi ni mtaji kwa chama tawala.
 
Izo mbona chache, kuna maeneo huko uwanjani juu hata washasahau
 
Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa.

Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika naomba liangalie hili jambo.

Huwezi amini kuna watu wanaenda kuchimba kwenye mabonde ya mito ili kupata maji ya kutumia.
Peleni sana...
 
Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa.
Hivi Goba kuna watu wanaishi huko?

Ndio nasikia leo
 
Sebarua kagundisha Makalio Ofisini mnategemea mtapata maji Bora Fimbo ya Mussa anawapigania raia wake.
 
Back
Top Bottom