Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

Zile chai maharagwe zile. Halaf hata siyo siku nyingi sana.
 

Ni Kweli ndio Maana Siishi Goba[emoji16]
 
Malizia goba ndio kunakaa matapeli wengi,wadangaji,marioo wanaoshinda wamevaa bukta na miwani
 
Kimara haijapangika kabisa ujue

Huko si watu wamejengeana mpaka mbele ya geti no kuachiana nafasi
[emoji1]

Ova
Hahaha hatari mkuu. Ila kuna mitaa na mitaa. Michache imepangika. Ila samahani sana. Usije ukatupeleka bonyokwa. Ile ni mkoa mpya. Hatuwatambui. Ila huwezi amini huko bonyokwa nako kuna vimtaa vimejengwaaa. Tena majumba makjbwa mpk unashamgaa
 
wizara ya ardi imelala pono na inatengewa bajeti hence hakuna mipango miji wala jiji endelevu baada ya magufuli kuondoka tutakuwa na kituko cha dodoma
 
Labda miaka hiyo teknolojia pia itakuwa imekuwa,unaweza ukahamisha nyumba yako,unaipakia kwenye lori unaipeleka sehamu unayotaka...
 
Ulaya ni mbali mkuu hata hapo posta na kkoo inatosha.Segerea yote hiyo yalikuwa ni mapoli baadae viwanja vikapimwa miaka ya 90+ lakini kwenda juzi Manzese kuna nafuu, hakuna barabara, hakuna mtaa unaeleweka ni vurugu tupu na kila mkazi wa eneo hilo kiwanja chake kimepimwa.
 
Hata mimi sipendezwi kwa ardhi kutokuwa na mipango miji ni kama ardhi haina mwenyewe.
 
Kwa uhalisia serikali yatakiwa iwe inalazimisha kupanga maeneo kwa lazima
 
Huko ndo sqm moja inauzwa kati ya 45,000 na 70,000. Watu hawajali huo msongamano, wanachojali ni jirani kajenga nyumba kali na mimi ngoja nijenge yangu.
 
Huko ndo sqm moja inauzwa kati ya 45,000 na 70,000. Watu hawajali huo msongamano, wanachojali ni jirani kajenga nyumba kali na mimi ngoja nijenge yangu.
YAAN NAWAMIND SANA MADALALI.

nimeandika kwa capital letters kuonyesha ninashout.. hahaha yaan wanalazimiaha jambo lionekane kuuubwaaa. Usiombe hicho kiwanja waje majirani wawe wamejenga contemporary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…