Jerry silaa hebu turudishie servicr road tegeta kwa ndevu maana kiyuo kile cha kwenda mwenge kinaleta foleni na usumbufu usio lazima.
Hivi mbarawa yeye mbona kwenye mikataba tuu tunamsikia lakini hifadhi za barabara hatumsikii kama hayati magufuli alipokiwa waziri wa miundombinu