Basi kama hivyo pako poa kwa mie kuishi.vyuo vingi hapo wanafunzi wake wake wanakaa kigamboni kuanzia CBE, IFM, TIA, mwalimu nyerere Memorial etc
Mkuu mimi ni baba paroko, usinitie majaribuni😁😁Basi kama hivyo pako poa kwa mie kuishi.
Ukiweza kupata mbususu basi hiyo sehemu iko poa kuishi.
Kiota gani kinabamba huko kwa wanachuo kujirusha
Kivipi lkaini? Ebwana kuchimba kissima huko kigamboni gharama zikojeMkuu mimi ni baba paroko, usinitie majaribuni😁😁
Yeah...Wewe ni Twilumba wa Microbiology ya Udsm?
Sasa unaogopa nini kuspend more than 10 yeara ya kutouch infectious organisms...Yeah...
Mkuu huko kigamboni ndo panakufaa kuna vyuo nane ambavyo asilimia kubwa wanafunzi wanaendaga kupanga kigamboniVpi kuhusu vyuo huko? Maana sie wazee wa totoz mawindo yetu ni warembo wa chuo. Savannah mbili tatu unajibebea mrembo
Yaani umeongea ze opozitiBasing on my opinions Goba kupo sawa zaidi kuliko Kigamboni. Goba kuna service zote pia karibu na mjini changamoto za foleni na usafiri ukiwa goba ni nafuu zaidi kuliko Kigamboni.
Sawa mwana kigamboni, mjimwema in particularKigamboni ipi?
Kigamboni ni wilaya kubwa, eneo lake karibu mara hamsini (50) ya Goba.
Kwa mfano, huwezi kuwa timamu kama utafananisha Mjimwema na Goba.
Halafu kuna beaches za gezaulole, Mbutu, mti mweupe, buyuni etc .. ambazo zinakuja juu sana.
kigamboni ni mji kama mji, ni manispaa tofauti na Goba ni estate tu.
Halafu goba ni mabonde na kupokupo tu hakukufaa kuwe makazi ya watu.
View attachment 2384611
Goba
View attachment 2384614
Kigamboni
Kumbe nikinyume chake au imekaaje hiiYaani umeongea ze opoziti
Kuwa na adabu mkuu. Acha kufananisha goba na takataka nyingine, goba is the next mikocheni kama sio masaki kabisa.Kigamboni ipi?
Kigamboni ni wilaya kubwa, eneo lake karibu mara hamsini (50) ya Goba.
Kwa mfano, huwezi kuwa timamu kama utafananisha Mjimwema na Goba.
Halafu kuna beaches za gezaulole, Mbutu, mti mweupe, buyuni etc .. ambazo zinakuja juu sana.
kigamboni ni mji kama mji, ni manispaa tofauti na Goba ni estate tu.
Halafu goba ni mabonde na kupokupo tu hakukufaa kuwe makazi ya watu.
View attachment 2384611
Goba
View attachment 2384614
Kigamboni
Mxxieew!Kuwa na adabu mkuu. Acha kufananisha goba na takataka nyingine, goba is the next mikocheni kama sio masaki kabisa.
Unaweza kufananisha Mjimwema na Goba?Changamoto ya Goba ardhi ina miinuko na mabonde Ila ni sehemu nzuri Kwa kuishi , kigamboni ni kama Tu upo kwenye nchi nyingine...!!
Goba pa kishuaaa, ipo connected na maeneo yote mhimu ya mji Kwa shortcut
Wacha kuchanganya goba na vitu vya kijingaMsaada wa kimawazo
Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.
Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.
1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo
Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Kigamboni usalama ni zero
Hahaha , wanaishi kigamboni wana nchi yao sioChangamoto ya Goba ardhi ina miinuko na mabonde Ila ni sehemu nzuri Kwa kuishi , kigamboni ni kama Tu upo kwenye nchi nyingine...!!
Goba pa kishuaaa, ipo connected na maeneo yote mhimu ya mji Kwa shortcut