Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Vpi kuhusu vyuo huko? Maana sie wazee wa totoz mawindo yetu ni warembo wa chuo. Savannah mbili tatu unajibebea mrembo
Mkuu huko kigamboni ndo panakufaa kuna vyuo nane ambavyo asilimia kubwa wanafunzi wanaendaga kupanga kigamboni
IFM
CBE
D.I.T
T.I.A
DUCE
Mwalimu nyerere
Chuo cha magogoni
Chuo cha diplomasia

Ushindwe ww tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigamboni ipi?
Kigamboni ni wilaya kubwa, eneo lake karibu mara hamsini (50) ya Goba.
Kwa mfano, huwezi kuwa timamu kama utafananisha Mjimwema na Goba.
Halafu kuna beaches za gezaulole, Mbutu, mti mweupe, buyuni etc .. ambazo zinakuja juu sana.
kigamboni ni mji kama mji, ni manispaa tofauti na Goba ni estate tu.
Halafu goba ni mabonde na kupokupo tu hakukufaa kuwe makazi ya watu.
1665565394207.png

Goba
1665565704437.png

Kigamboni
 
View attachment 2384611
Goba
View attachment 2384614
Kigamboni
Sawa mwana kigamboni, mjimwema in particular
 
Kigamboni ipi?
Kigamboni ni wilaya kubwa, eneo lake karibu mara hamsini (50) ya Goba.
Kwa mfano, huwezi kuwa timamu kama utafananisha Mjimwema na Goba.
Halafu kuna beaches za gezaulole, Mbutu, mti mweupe, buyuni etc .. ambazo zinakuja juu sana.
kigamboni ni mji kama mji, ni manispaa tofauti na Goba ni estate tu.
Halafu goba ni mabonde na kupokupo tu hakukufaa kuwe makazi ya watu.
View attachment 2384611
Goba
View attachment 2384614
Kigamboni
Kuwa na adabu mkuu. Acha kufananisha goba na takataka nyingine, goba is the next mikocheni kama sio masaki kabisa.
 
Changamoto ya Goba ardhi ina miinuko na mabonde Ila ni sehemu nzuri Kwa kuishi , kigamboni ni kama Tu upo kwenye nchi nyingine...!!

Goba pa kishuaaa, ipo connected na maeneo yote mhimu ya mji Kwa shortcut
 
Msaada wa kimawazo

Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.

Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.

1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo

Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Wacha kuchanganya goba na vitu vya kijinga
 
Kigamboni usalama ni zero

Kigamboni kubwa inategemea unazungumzia Kigamboni gani.....Msogeze Kibada, Bei ya Viwanja tu imechachamaa 70M ++ akisogea Kibada ushuani ni Mpaka 100M++

usalama wengi wamejigwa in community security baada ya saa 2 mageti yabarabara za mitaa yanafungwa unapita kwa pass...either uwe unakaa mtaa huo au mkaaji wa mtaa huo aongee na mlinzi upite
 
Back
Top Bottom