Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Nahitaji kiwanja goba kisiwe chini ya 25 kwa 25. Nileteeni offer. Na kiwe eneo tambarale sio eneo lina miinuko kama tupo milima ya upareni
 
Summarry nimepata points zifuatazo

Goba faida yake
1. Ni sehemu iliyo connect na maeneo mengi ya mjini (mbeziBeach, makongo & kimara)

2. Ni makazi mapya ( Watu wanaweka mijengo kwelikweli)

3. sehemu nyingi Usalama upo kutokana na aina ya watu walioJenga

4. Ipo connected na maeneo mengi

[emoji3469]Challenge ya Goba
1. Vilima vingi (sio tambare - ujenzi gharama)

2. Sio block ( maeneo mengi hayako planned kimitaa (sio viwanja vya serikali) so hakujapangiliwa - upana wa barabara zimekatwa kienyeji )

3. Maji challenge kidogo

4. goba kunafaa mtu mwenye mishemishe ( MbeziBeach, kimara, makongo , na maeneo jirani)

5. Hakuna beach za karibu

6. Foleni - hasa wanaofanya kazi kutokea posta & kariakoo

7 . Haijitoshelezi kila kitu ( huduma zingine lazima uzifuate mbeziBeach au mwenge n.k

8. Wakati wa mvua zile tope na maporomoko[emoji35]

[emoji3469] [emoji3469][emoji3469][emoji3469][emoji3469][emoji3469][emoji3469]

Kigamboni"

Faida zake
1. Kuna sehemu ni Block (planned) - viwanja vya serikali, barabara zimepangika na hata viwanja nimepangiliwa -- areas kama kisota, kibada & Geza . hayo maeneo pamejengeka sana na watu wapo Good na security ipo juu

2. Kigamboni - ipo na beach ( so weekEnd au kwenda kupumzika is okay

3. Kigamboni ipo karibu na uwanja wa Taifa so relaxation is[emoji91]

4. Kigamboni hakuna Jam ya foleni maana ipo pembeni

5 . Kigamboni imepakana na posta so ukivuka maji tu upo kariakoo na maeneo ya posta

6. Kigamboni cost zakujenga ndogo( tambarale, material yapo karibu sana - hata buguruni chap ushapata mbao & bati)

7. Kigamboni imepakana na ukanda wa viwanda vingi ( so materials & kazi ndogo ndogo ni chap)

8. population ni kubwa ( so huduma nyingi zipo )

10. Ni ukanda wa bahari ( so vyakula fresh ni vingi)

[emoji3469]
Challenge za kigamboni

1. Tozo, Tozo, Tozo[emoji35] za gari /kulipia

2. Maeneo ya block ( Planned - kisota, kibada & Geza n.k ) ni expensive sana compared to squatter area

3. Kigamboni kumejitenga tofauti na goba (goba ni connected na sehemu nyingi)

4. Iko mbali na stend ya mkoa ( kwa wenye usafiri sio issue ila wenzangu na mm hadi ufike stend kipengele)

Conclusion kwa nilivoona
[emoji91] Maeneo yote is okay , itategemea mishe mishe unafanyia wapi...coz mtu wa kazi lugalo hawezi tamani kukaa kigamboni...na mtu wa mishe mishe bandarini hata tamani kujenga Goba
 
Nakumbuka way back wakati naishi kimara mwisho mtu anaekaa goba tulikuwa tunamwona mashamba sana maana palikuwa pori kweli kweli kunatisha misitu na vichaka tu.

Nikipitaga goba huwa nacheka sana nikikumbuka vichaka vya zamani
 
Msaada wa kimawazo

Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.

Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.

1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo

Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Nenda Kigamboni wanako ku diss utakuja kunishukuru baadae.
 
Nahitaji kiwanja goba kisiwe chini ya 25 kwa 25. Nileteeni offer. Na kiwe eneo tambarale sio eneo lina miinuko kama tupo milima ya upareni
Aisee goba yaani baada ya kukamilika ile barabara ya lami kutoka Tegeta to Mbezi mwisho bei za viwanja zimepaa ghafla yaani kuanzia madale hadi goba hapashikiki hapo ujiandae kuanzia 20m na kuendelea tena ndanindani sio karibu na barabara
 
Mkuu acha hasira!!!

Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala shukuru sasa hivi kuna daraja.

NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.
 
Mkuu acha hasira!!!

Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala.

NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.
Hahaaa unaishi karne ya 17 bila shaka. Kigamboni 24/7 unavuka eithet kwa panton au darajani. Kigamboni ni planned place no squarters cheap plot 20 by 20 si chini ya 10 ml currently. Viko viwanja mpk vya ml 70.

Halafu maisha ya kigamboni by now ni expensive sana means wanaoweza ni watu wa mido income. Samaki anayeuzwa feri ya magogoni sh 2000 ukivuka tu upande wa kigamboni ana double price. Kuingia na kutoka kigamboni ni pesa ulipe kivuko au darajani. Kama hijajenga bado nenda kigamboni kachukue miramani ya mijengo yenye kufuru
 
Mkuu acha hasira!!!

Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala.

NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.
Kigamboni Kuna sehemu hupati kiwanja. Let alone 12 mil kwa 20 X 20. Unajua Kigamboni?
Halafu Mimi siwezi kuishi Goba. I'm too cosmopolitan for such a piece of real estate scam.
 
Mkuu acha hasira!!!

Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala.

NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.
Hivi unapajua Kigamboni au unasimuliwa? Tangu Zamani kabla ya daraja pantoni ni 24/7.
Pili Kigamboni hata uswahilini 20x20 kiwanja hupati chini ya 10m. Kuna seems panaitwa kwa mkorea viwanja 35,000 /sqm. Hata 30km kutoka Ferry hupati kiwanja chini ya 10,000/sqm.
Tembea uone acha kujificha huko kwenye mabonde ukifikiri ndio sehemu nzuri kuliko zote Dar.
 
Msaada wa kimawazo

Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.

Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.

1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo

Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Kigamboni ni kubwa sasa sijui kigamboni ipi unayolinganisha na goba maana mfano maeneo ya beach kigamboni yamejengeka sana na majumba ni ya maana sana
 
Msaada wa kimawazo

Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.

Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.

1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo

Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Huu UZI nitakuja kuchangia mwakani siku kama hii 🙏🏿
 
Back
Top Bottom