Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una miaka mingapi hapa jijini mkuu?Goba is much better compare to Kigamboni
Advantages iliyopo kigamboni ni kwamba bado maeneo ni mengi unaweza ukanunua hata Acres kwa bei ndogo tofauti na goba tayar pamekucha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataenda Bahari Beach, Silver SandWewe unapenda sana Beach sasa Goba mpk Bichi na Kigambon mpk Bichi
Wapi jiran?
Me mwenzako Dar sijawahi kufika (Nimezaliwa hapa hapa)Una miaka mingapi hapa jijini mkuu?
Weka picha tuoneKuwa na adabu mkuu. Acha kufananisha goba na takataka nyingine, goba is the next mikocheni kama sio masaki kabisa.
Nenda Kigamboni wanako ku diss utakuja kunishukuru baadae.Msaada wa kimawazo
Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.
Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.
1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo
Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Aisee goba yaani baada ya kukamilika ile barabara ya lami kutoka Tegeta to Mbezi mwisho bei za viwanja zimepaa ghafla yaani kuanzia madale hadi goba hapashikiki hapo ujiandae kuanzia 20m na kuendelea tena ndanindani sio karibu na barabaraNahitaji kiwanja goba kisiwe chini ya 25 kwa 25. Nileteeni offer. Na kiwe eneo tambarale sio eneo lina miinuko kama tupo milima ya upareni
Mkuu acha hasira!!!Mxxieew!
Hahaaa unaishi karne ya 17 bila shaka. Kigamboni 24/7 unavuka eithet kwa panton au darajani. Kigamboni ni planned place no squarters cheap plot 20 by 20 si chini ya 10 ml currently. Viko viwanja mpk vya ml 70.Mkuu acha hasira!!!
Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala.
NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.
Kigamboni Kuna sehemu hupati kiwanja. Let alone 12 mil kwa 20 X 20. Unajua Kigamboni?Mkuu acha hasira!!!
Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala.
NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.
Hivi unapajua Kigamboni au unasimuliwa? Tangu Zamani kabla ya daraja pantoni ni 24/7.Mkuu acha hasira!!!
Hakuna mtu alikulazimisha ukanunue kiwanja cha laki tatu Kigamboni ni wewe ulipenda mwenyewe au sijui ndo mfuko wako ulivyokuruhusu mimi sijui,unaishije sehemu lazima uishi kwa machale?ikifika 00:00 usiku kama hukuvuka wewe jihesabie umelala mjini au uzungukie Mbagala.
NB;kila mtu anaishi kwa uwezo wake Goba 20x20 12mill hujainua nyumba hujasawazisha kiwanja Kigamboni 50x40 unapata kwa 1mill tambarare mchanga hapo hapo so unaweza kuona tofauti ya watu wake.
Kigamboni ni kubwa sasa sijui kigamboni ipi unayolinganisha na goba maana mfano maeneo ya beach kigamboni yamejengeka sana na majumba ni ya maana sanaMsaada wa kimawazo
Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.
Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.
1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential
5. Na mengineyo
Utofauti upoje ndo nataka kujua, buget ya plot sio issue sana
..
Natanguliza shukrani[emoji120]
Huu UZI nitakuja kuchangia mwakani siku kama hii 🙏🏿Msaada wa kimawazo