Kwitogelo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 310
- 442
Kidato cha pili kinahitimiwa kivip tenaLema ni msomi aliyefanikiwa kuhitimu kidato cha pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidato cha pili kinahitimiwa kivip tenaLema ni msomi aliyefanikiwa kuhitimu kidato cha pili.
Wazo zuri naomba kazi ya umeneja wa kanisaElimu haina mwisho!, mimi mwenyewe nikifika 60 na kustaafu rasmi ndipo na naji enroll kusoma Ph.D ya divinity kisha naenda Nigeria kuchukua vifaa, nakuja kufungua kanisa.
P
c.c GODBLESS LEMAMwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha elimu ya Mr Gobless Lema.
Maana anavyoongea anajijua mwenyewe, au hajapata mgao?
Mkuu usiongee kwa kufuata propaganda za media fuatilia mamb ya Zimbabwe kwa kinaPresident Mugabe alikuwa na zaidi ya 5 degrees, sasa angalia alivyo f...up Zimbabwe, haya makaratasi ya kukariri hayasaidii chochote
Likianza nitakuita na kukupiga kwanza upako wa NigeriaWazo zuri naomba kazi ya umeneja wa kanisa
Nina shahada ya kwanza ya naniliuu. Ndani ya kozi yangu Kuna masome ya management and administration.
Mkuu Pascal katika hili nakupinga. Elimu haina mbadala. Kama huna lazima kasoro zionekane tu. Huwa tunajifariji tu kuwa elimu ya kitaa ndo bora lakini kamwe sitakubaliana kirahisi kuwa kijana aliyepiga A's akaenda form 5 Ilboru awe sawa na aliyefeli. Hata makampuni makubwa kama KPMG, Delloite, PWC huwa hawataki kabisa vilaza ndo maana yanafanya vizuri. Kuhusu Lema ni kuwa ana kipaji tu cha siasa na ametokea kupendwa mno na wananchi tangu akiwa TLP. Dunia ya siasa ina mambo mengi sana... Lema anajua wananchi wanapenda kusikia nini ingawa tangu atoke Canada ni kama yuko nje kabisa ya key.Shule, vyeti, elimu na uwezo ni vitu 4 tofauti!.
Kupiga shule ni kule tuu kuingia darasani kisoma hivyo Lema kaingia darasani kasoma ni msomi hata akipata zero!
Vyeti ni uthibitisho wa usomi hivyo Lema ana vyeti hata kama hujaelimika!
Elimu ni kuelimika, kuna watu wana Ph.D za vyeti lakini hawajaelimika, na kuna watu wameishia form 4 na div. IV lakini wameelimika kupita Ph.D!
Na mwisho ni uwezo, kuna watu wana elimu hadi ya Ph.D lakini uwezo ni sifuri!, na kuna mababu zetu hawakuingia hata darasani lakini wana uwezo mkubwa!.
2010 nimehudhuria kampeni za Lema form IV leaver wa Div. 4 akishindana na Ph.D holder wa CCM, Dr. Burian. Ph.D iligaragazwa vibaya!. Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema
P
Hotuba nzuri ni namna unavyopokea ujumbe.Au hizo zingine hukupa ugali?Haulazimishwi kuzipenda wala kusikiliza.Hamna mwenye shule pale, hata hotuba zake unaona kabisa hana shule, angalia hotuba za Zitto na Lema utaona utofauti, hata heche anahotuba nzuri kushinda Lema.
We mara ngapi umediscuss watu humu ndani? We jambaa ni mpumbavu eeh. Yaan mtu akiisema CHADEMA tako lazima likucheze.Small minds discuss people
Kiwango cha darasa la kwanzaMwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha elimu ya Mr Gobless Lema.
Maana anavyoongea anajijua mwenyewe, au hajapata mgao?
Mimi sio mtu wa propaganda kabisa,Zimbos nimepita hapo just 4weeks ago mkuu, kuanzia beitbridge, rundu, hadi harare, hii barabara kwa sasa ni nzuri, ila maendeleo na siha ya raia ni shida, harare to chirundu ni mbovu ila wana mkakati wa kuijenga, na mziki mkubwa unakuja June maana ile zsp inakuja to the end, Zambia imenufaika mno na upuuzi wa mugabe, wapo wanajitegemea kwa mahindi!!Mkuu usiongee kwa kufuata propaganda za media fuatilia mamb ya Zimbabwe kwa kina
Harare to nyamapanda ni umasikini wa hali ya juu, nchi ile ilikuwa ni lulu, plumtree to bulawayo nako makovu mengi tu, mkuu SADC Sina haja ya mediaMkuu usiongee kwa kufuata propaganda za media fuatilia mamb ya Zimbabwe kwa kina
Mkuu MamaSamia2025 , rukhsa kunipinga kwa hoja, it's very healthy kwenye mijadala.Mkuu Pascal katika hili nakupinga. Elimu haina mbadala. Kama huna lazima kasoro zionekane tu.
Hapo pia kuna vitu vinne tofauti umevizungumzaHuwa tunajifariji tu kuwa elimu ya kitaa ndo bora lakini kamwe sitakubaliana kirahisi kuwa kijana aliyepiga A's akaenda form 5 Ilboru awe sawa na aliyefeli.
Japo ni kweli ila kwenye mabilioneo top ten wa Tanzania, ni mmoja tuu ndio a university graduate Mo Dewji. hao 9 waliobakia 3 kati yao hawakusoma hata darasa moja ukiachilia madarasa!. Watatu ni form four failures!, na watatu wana elimu ya kuungaunga!. Hivyo kupasi darasani sio hoja sana japo inasaidia Umasikini wa Afrika, Je tumelogwa?. Licha ya Kuongoza kwa Utajiri, Tuna Bilionea 1 tu kwenye Top Hundred Mabilionea wa Dunia. Ni Aliko Dangote Pekee!Hata makampuni makubwa kama KPMG, Delloite, PWC huwa hawataki kabisa vilaza ndo maana yanafanya vizuri.
Kama nilivyokueleza nimesoma Ilboru Arusha, najua machalii wa Arusha wanataka nini, Lema akiwa na four ya points 31, amegombea Arusha na Ph.D holder na kumgalagaza!. Hivyo elimu ya vyeti is not a very big deal, a real deal is wananchi wanataka kusikia nini!, Lema anawapa wanachotaka kusikia hata kama hana uwezo wa kuwafanyia chochote!. Matajiri wa Tanzania ni Mabepari Wanyonyaji?!.Kuhusu Lema ni kuwa ana kipaji tu cha siasa na ametokea kupendwa mno na wananchi tangu akiwa TLP. Dunia ya siasa ina mambo mengi sana... Lema anajua wananchi wanapenda kusikia nini ingawa tangu atoke Canada ni kama yuko nje kabisa ya key.
PointMkuu Pascal katika hili nakupinga. Elimu haina mbadala. Kama huna lazima kasoro zionekane tu. Huwa tunajifariji tu kuwa elimu ya kitaa ndo bora lakini kamwe sitakubaliana kirahisi kuwa kijana aliyepiga A's akaenda form 5 Ilboru awe sawa na aliyefeli. Hata makampuni makubwa kama KPMG, Delloite, PWC huwa hawataki kabisa vilaza ndo maana yanafanya vizuri. Kuhusu Lema ni kuwa ana kipaji tu cha siasa na ametokea kupendwa mno na wananchi tangu akiwa TLP. Dunia ya siasa ina mambo mengi sana... Lema anajua wananchi wanapenda kusikia nini ingawa tangu atoke Canada ni kama yuko nje kabisa ya key.
Basi kama ni hivyo waache kusemana kuhusu mambo ya elimuMkuu MamaSamia2025 , rukhsa kunipinga kwa hoja, it's very healthy kwenye mijadala.
Hapo pia kuna vitu vinne tofauti umevizungumza
Elimu ya Kitaa vs elimu ya darasani na
Kufeli elimu ya darasani vs kufeli maisha
Mimi nilipiga A's na kwenda Ilboru, na kuna madogo walipiga F's na kuzusha lakini siwafikii hata robo!.
Nimesoma UDSM, kuna ma Professor pale wana na 1st class lakini hawafikii hata robo ya maisha ya Mtoto wa Tandale ambae ni standard 7 dropout!.
Japo ni kweli ila kwenye mabilioneo top ten wa Tanzania, ni mmoja tuu ndio a university graduate Mo Dewji. hao 9 waliobakia 3 kati yao hawakusoma hata darasa moja ukiachilia madarasa!. Watatu ni form four failures!, na watatu wana elimu ya kuungaunga!. Hivyo kupasi darasani sio hoja sana japo inasaidia Umasikini wa Afrika, Je tumelogwa?. Licha ya Kuongoza kwa Utajiri, Tuna Bilionea 1 tu kwenye Top Hundred Mabilionea wa Dunia. Ni Aliko Dangote Pekee!
Kama nilivyokueleza nimesoma Ilboru Arusha, najua machalii wa Arusha wanataka nini, Lema akiwa na four ya points 31, amegombea Arusha na Ph.D holder na kumgalagaza!. Hivyo elimu ya vyeti is not a very big deal, a real deal is wananchi wanataka kusikia nini!, Lema anawapa wanachotaka kusikia hata kama hana uwezo wa kuwafanyia chochote!. Matajiri wa Tanzania ni Mabepari Wanyonyaji?!.
P.
jamaa ana PHD ya kula NDUMU!!!Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha elimu ya Mr Gobless Lema.
Maana anavyoongea anajijua mwenyewe, au hajapata mgao?