God existed before time and He created time

Kwanza thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Nimekutaka uthibigishe huki awali kabisa. Umeshindwa.

Kwa sababu huwezi kuthibitisha.

Kwa nini umeshindwa kuthibutisha?

Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Kwa nini hayupo?

Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajupinga yenyewe. Ni sawa na useme kuna Mama A ana mtoto wa kumzaa B. Halafu huyo mtoto B pia ni mama mzazi wa mama A.

Ukiambiwa tu hiyo habari unajua ni uongo.

Haiwezekani kuwa kweli.

Kwa sababu inajipinga yenyewe. Mtoto hawezi kuwa mama wa mama yake mzazi.

Kama unabisha unasema Mungu yupo, thibitisha.
 
Suala la kutokuwepo Mungu linakuja kwa sababu Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) angekuwepo ulimwengu huu uliojaa kuwezekana mabaya usingekuwepo.

Yani ulimwengu huu unakuwa kama umetokea kinyume na tabia za Mungu. Mungubkasimama lindo ulimwengu huu usiweze kutikea halafu umempiga tobo ukatokea.

Huyo Mungu alisinzia lindoni?
 
Sio kweli mkuu Mungu afanani na chochote katika viumbe huu ndio msimamo wa QURAN, labda huko kwenye biblia wenyewe watakujibu
Kwahiyo kwa haraka harak Mungu unamzungumziaje.. siku unakutana naye anaweza akawa na umbo gani? Ama ni invisible maana siku ya mwisho wanasema yeye atatoa hukumu Sasa sijui atakua kwenye umbo gani.. coz wakristo wanasema anafanana na mwanadamu... Hapo waislam mnasemaje?
 
Umetuimia njia gani au kipi kimekufanya wewe uamin Mola muumba yupo ?
Nadhani anaamini kupitia baba zake na babu zake ndio maana kasema babu zake walishikwa pabaya na wazungu...

Ameamini kwa kuambiwa tuu ila haba uthibitisho
 
Msalimie John Yarr
 
Linafikirisha sana hili swali
 
Religion is an extremely form of crowd control, it's the opium of the masses..
 

Kwanza sijawahi kushindwa juu ya kumthibitisha Mola muweza.

Pili,hili kosa la kushindwa kumithilisha mambo naona unalirudia sana mzee.

Hiyo kauli ya mama kuwa mtoto wa mwana haijipingi kabisa,kwani iko wazi ya kuwa jambo hilo haliwezekani,hili nikilibainisha huko mwanzo. Ndio maana nikawa nakutaka ujibu maswali yangu.

Kadhalika naona unapenda sana kuooteza muda kwa kurudia maswali ambayo nilishakujibu huu utoto unaupenda sana.

Nilikunukulia kauli ya mwanazuoni wetu akiongelea juu yule aonae aya za Qur'an zinajipinga au Hadithi,akasema ukiona hilo kwa mtu huyo kwanza anatakiwa kuinutuhumu akili na elimu yake kwa kushindwa kuzidiriki aya hizo au hadithi hizo,na hili limedhihiri kwa kubwa wenu baki mpaka nyinyi vifaranga mnaliendeleza kosa hili.

Ndio katika kukujibu swali hili huko juu nilikueleza kutoa kauli moja kutokana na kauli mbili zenye kupingana,cha ajabu ukaleta mfano wa jambo lisilo wezekana. Kisha ukalipa jibu ya kuwa eti kauli hizo za mama na mtoto zinakinzana.

Narudi....
 
Nadhani anaamini kupitia baba zake na babu zake ndio maana kasema babu zake walishikwa pabaya na wazungu...

Ameamini kwa kuambiwa tuu ila haba uthibitisho


Hili swali nakuuliza sababu Kiranga analikwepa na ninajua haweze kulijibu.
Je imani inaweza kuwa bila elimu ?
 
Usiandike narudi.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Hili swali nakuuliza sababu Kiranga analikwepa na ninajua haweze kulijibu.
Je imani inaweza kuwa bila elimu ?
Wewe kuwa na swali ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, usingejuwa na swali.

Unaelewa hilo?
 

Hil swali rahisi sana. Kwetu sisi waislamu tunaamini ya kuwa wale waliofanya mema watalipwa pepo na ziada ya kumuona Allah kama tunavyoliona jua huku duniani.
 
Wewe kuwa na swali ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, usingejuwa na swali.

Unaelewa hilo?

Hapa umethibitisha ya kuwa huwezi kujibu swali hilo.

Nipo ....
 
Hapa umethibitisha ya kuwa huwezi kujibu swali hilo.

Nipo ....
Swali gani?

Wewe unaeikandia logic unaelewa swali ni nini na jibu ni nini?

Utaekewaje tofauti ya swali na jibu bila kutumia logic?
 
Ukisema unapoteza muda hunathibitisha Mungu yupo.

Unathibitisha hayupo.

Angekuwepo usingeweza kupoteza muda.

Poa,ila usisahau kujibu maswali yangu,ili wapate faida wengine.
 
Swali gani?

Wewe unaeikandia logic unaelewa swali ni nini na jibu ni nini?

Utaekewaje tofauti ya swali na jibu bila kutumia logic?

Rejea swali langu la Imani huko juu.

Pili,logic kwangu mimi ni upuuzi sababu kuna mambo kadha wa kadha katika kuhoji huyakuti wala hayazingatiwi.

Nilikuuliza swali lingine,hili nalo hukulijibu pia,ila hapa nakukumbusha pia,nilikuuliza Je unayaju madhaifu ya elimu ya mantiki (Logic).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…