LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #181
Wabongo wengi hawanaga utamaduni wa kushitaki pindi wanapodhalilishwa.Sheria ipo wazi sana,kama umechafuliwa unakimbilia mahakamani kuombwa kusafishwa na pengine fidia,ni katika mchakato huo ndipo mlalamikiwa atatakiwa athibitishe pasi na shaka kwamba asemayo si kukuchafua ni kweli
Ajabu kati ya waliotajwa kuwa mashoga hakuna hata mmoja alietaka kuombwa radhi zaidi ya kutingisha matako mitandaoni
Mara nyingi Wanapojikuta katika situation kama hiyo huwa wanamuachiaga Mungu.
Usijifanye kama haujui