Tetesi: God Forbid ! Sam Misago.anaweza kujiua!!!

Tetesi: God Forbid ! Sam Misago.anaweza kujiua!!!

Huyo kwisa kama anajihusisha na hizo tabia basi yeye ndie huwapitia wenzie.jamaa hafanani kabisa
Wenzie si unawaona tu mkuu
Afu hivi ni kweli dudu baya alikua anawapitia wenzie ?
Kumbuka maneno ya Arasii
 
Sam Misago nimeishi nae mtaa mmoja kwa miaka miwili na tulikuwa tunafahamiana. Kwa nilivyomuona sikuona dalili zozote za ushoga. Kwanza kwenye sekta ya mademu alikuwa anawala vibaya sana, nachelea kusema katika vijana niliowashugudia wakibadili wanawake huyu dogo anaongoza.

Sasa hil la kusema shoga sikuwahi kuhisi kwasababu sikuona dalili zozote. Tatizo la wabongo mvulana akiwa hb,msafi swaga fulani kupita kiasi hawachelewi kusema ni shoga.
Miaka ya 90 hadi 2000! Pale Morogoro Mjini ilikuwa kijana akiwa na hela afu watu hawajui amezipataje, wanavumisha kijana analiwa na Waarabu!
 
Hili la sam missago siamini hata kwa asimia 1%
kweli mkuu huyu jamaa wanamuonea wivu tu mtu anamuhukumu kwa kumsingizia yy shoga kutokana na uvaaji wake na utangazaji wake ni upumbavu tu akienda mahakamani sijui kama aayesema misago shoga ana hela ya kumlipa sam misago
 
Labda kama kuna jingine, ila kama ni hili la konki, the whole list imeshanidisappoint kwa kukaa kimya bila action yeyote ya kisheria dhidi ya aliyewatuhumu hadharani. Kinachofuata ni kuamini tu kuwa ni kweli.
 
Miaka ya 90 hadi 2000! Pale Morogoro Mjini ilikuwa kijana akiwa na hela afu watu hawajui amezipataje, wanavumisha kijana analiwa na Waarabu!
Ndio Wabongo hao.
 
Konki konki nyongo ya mamba, chuma chakavu, dudu baya, kapafoma, oil chafu
 
Watu wa namna hiyo hawana vinyweleo huko nyuma, na pia huangalia uwepo wa sperm, hzo huwa zinaganda na kufanya muwasho ambao humfanya mtu ataman kufanywa daily....hii kitu ni hatar sana ukijarbu tu umeisha, na ni ngumu kuchomoka...mpak usafishwe kabisa kwa kutumia special facilities
Huo mgando unaitwa sharuara...
 
Back
Top Bottom